Uwongo wa mchana wa Prof. Kabudi kuwa dawa inagawiwa na Rais Madagascar kumbe ipo hadi madukani

Ila muuza dawa amevaa mask.....
Kweli kinga ni bora kuliko tiba
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Lazima uwe mwendawazimu kufikiria kuwa Rais anafanya kazi ya kugawa dawa kwa wenye maduka.

Kwanza sijawahi kusikia kuwa dawa zinauzwa supermarket. Hii bila shaka haipo kwenye kundi la dawa ndiyo maana inauzwa kwenye maduka ya kawaida. Labda wameiweka kqenye kundi la vinywaji visivyo na kileo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kwamba haiwezi kuwa supermarket!!!
 
Kabudi akikutolea yale macho unaweza hisi anataka kukumeza kumbe ndio swag zake mzee wa Kigogo

Kabudi ni bonge moja la laghai na nafiki.
Mimi nilisangaa Sana niliposikia Jiwe anataka kupeleka ndege Madagascar ATI ikalete dawa kana kwamba Madagascar ni mbinguni watu wengine hawaezi kufika!
Kwa Madagascar hii ni FURSA ya kutengeneza Fueza! Wafanyibiashara wa Bongo mbona tayari wamesha agiza mzigo kitambo!
Hapo chacha sijui wataipiga marufuku baada ya utafiti wao fake??
 
ulimwelewa ndivyo sivyo Prof. Alisema ili itoke Madagascar lazima kibali cha Rais aliyekuwa DJ
Kwahiyo tumepokea dawa kutoka kwa DJ...
Ila Bia Yetu,Etwege,UCD,Magonjwamtambuki wataisusia hii dawa kisa rais ni DJ kama Mh. Mbowe
 
Back
Top Bottom