Uwongo wa "camera 360"

Sasa toka lini mchumba akapatikana kwenye kioo
 

Pole kwa mnaodanganyika na picha!!!
 
heeeeeeeeeeeeee! hii yako kali zaidi naomba uniambie inauzwaje nami hiyo na uzee nilionao itanifaa zaidi
ipo application nyingine inaitwa kirobapp yaani kikongwe cha miaka mia unakiona kama ki tineja
 
Kuna app ya camera moja kwenye lumia inaitwa nokia glam me, ni balaa. Mtu bonge inakufanya uwe mwembamba kama miss

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Hahaha. Hiyo ndo noma. Hasa kwa wale kina miss bantu.
 
Kuna moja inaitwa PambApp, hata kama umevaa taulo unaonekana umekula gucci au fendi suit
 
mkuu mambo mengine chukulia poa 2 kama ajakuvutia mwambia uko tofauti camera ilinidanganya bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…