Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Yamekukuta eeenh?
Kwa kweli umenena kweli
Kuna app ya camera moja kwenye lumia inaitwa nokia glam me, ni balaa. Mtu bonge inakufanya uwe mwembamba kama miss
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Halafu kuna mijianaume inatumia hii camera ovyo kabisa

ipo application nyingine inaitwa kirobapp yaani kikongwe cha miaka mia unakiona kama ki tineja
sasa ukiwekewa picha, utailinganisha nani..???Acheni kulalamika tu kama Chadema, wekeni hizo picha basi ili tuamini mlichokiandika.