Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

Katiba ni kwa ajili ya walafi kuweza kuingilia ikulu,baada ya kusambaza gilba za uongo kila pahala/
We need to change mindset zetu.
Kwanini tuko na katiba kwanini kwa asilimia kubwa tunaitiii.
Alipofariki Magufuri, wote kama Taifa tulirudi kwenye Katiba,
Alipoondolewa Nchimbi wote tumerudi kwenye katiba.
Hii inaonesha
KATIBA ni muhimu.
TOfauti na wewe unavyodai?
 
Dogo kifurushi Cha Azam kikisha pale Kwa shemeji yake, anakwenda kwa rafiki yake Ayubu, anaomba simu na kuanza ku-type tu humu ilimradi mawazo na hasira za kutoangalia sinema zetu zimtoke.
Dogo anatakiwa aache porojo atafute shughuli ya kufanya

Ujobless na kukaa kwa shemeji aah ni hatari sana
 
Sijekwezi huu ndo ukweli
Kama hujui fikra zinakuwa shape na katiba basi unakuwa sawa na godbless lema

Katiba ikisema Rais akimaliza mda wake anaweza-funguliwa mashtaka unadhani kutakuwa na rushwa kubwa kubwa haziwezi kuwepo

Lakini katiba inakupa kinga ya kutokustakiwa wewe kama Rais unafikri ni nini kinafuata hapo

Upo sahihi sana.
 
Fikra zetu zipo hivi sababu ya katiba iliyopo kwanini mtanzania huyu huyu akienda marekani ghafla anaanza kulipa kodi, anatii sheria ila alivyokuwa Tanzania alikuwa halipi kodi na hatii-sheria unafikiri huyu mtu tatizo ni fikra hapana sio fikra ni katiba ya nchi ambayo inaunda sheria zote na taasisi zote za nchi
Ni kwasababu ya Polisi
Nukta
 
Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale

Fikra zetu zipo hivi sababu ya katiba iliyopo kwanini mtanzania huyu huyu akienda marekani ghafla anaanza kulipa kodi, anatii sheria ila alivyokuwa Tanzania alikuwa halipi kodi na hatii-sheria unafikiri huyu mtu tatizo ni fikra hapana sio fikra ni katiba ya nchi ambayo inaunda sheria zote na taasisi zote za nchi

Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi wa TAKUKURU hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua Itapungua kwa kiwango kikubwa na TAKUKURU watakuwa na uhuru mkubwa sana wa kufanya kazi

Tukiwa na spika ambaye hatokani na vyama vya siasa na katiba ikasema hivyo

Katiba ikisema majaji wa mahakama kuu wasichaguliwe na Rais itapunguza changamoto nyingi sana za mahakama

Katiba mpya haiwezi maliza matatizo yote ila italeta unafuu mkubwa sana kuanzia kwenye kupata viongozi, kuhimiza uwajibikaji na kutenda haki
Sikilizaga kwanza point uskurupuke TU kulaumu
 
Kaongea ujinga ilo liko wazi
Katiba ndo inashape fikra za watu wa nchi husika

Kama katiba ikisema usipolipa kodi hutachukuliwa hatua zozote wewe unadhani watu watalipa kodi
Lema kasema fikira zisiwe kama za ccm vinginevyo hata tukipata katiba mpya mawazo yakawa kama ya ccm hatutapata tunachokitalajia shighulisha ubongo wako kabla hujalaumu.
 
Back
Top Bottom