Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale

Fikra zetu zipo hivi sababu ya katiba iliyopo kwanini mtanzania huyu huyu akienda marekani ghafla anaanza kulipa kodi, anatii sheria ila alivyokuwa Tanzania alikuwa halipi kodi na hatii-sheria unafikiri huyu mtu tatizo ni fikra hapana sio fikra ni katiba ya nchi ambayo inaunda sheria zote na taasisi zote za nchi

Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi wa TAKUKURU hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua Itapungua kwa kiwango kikubwa na TAKUKURU watakuwa na uhuru mkubwa sana wa kufanya kazi

Tukiwa na spika ambaye hatokani na vyama vya siasa na katiba ikasema hivyo

Katiba ikisema majaji wa mahakama kuu wasichaguliwe na Rais itapunguza changamoto nyingi sana za mahakama

Katiba mpya haiwezi maliza matatizo yote ila italeta unafuu mkubwa sana kuanzia kwenye kupata viongozi, kuhimiza uwajibikaji na kutenda haki
Wachagga huwa awanaga akili ...chunguzeni kwa makini...wapo very low logic .... ila wana sifa ya uchu wa pesa . Hii inawafanya kutafuta sana pesa na kifanya watu kudhani wana akili..
 
Kasema bila mabadiriko ya fikila hata tukipata katiba mpya ni bule kumbe wewe nini hujakielewa hapo au ndio ubongo robo nini lema kawaambia WA Tanzania wanapo dai katiba mpya iwe sambamba na mabadiriko ya fikira
Katiba ndo inabadilisha fikra na kushape

Kama katiba ikisema Rais atakuwa na uwezo wa kushtakiwa akimaliza urais wake unadhani atakula rushwa au kufanya ufisadi
 
Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale

Fikra zetu zipo hivi sababu ya katiba iliyopo kwanini mtanzania huyu huyu akienda marekani ghafla anaanza kulipa kodi, anatii sheria ila alivyokuwa Tanzania alikuwa halipi kodi na hatii-sheria unafikiri huyu mtu tatizo ni fikra hapana sio fikra ni katiba ya nchi ambayo inaunda sheria zote na taasisi zote za nchi

Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi wa TAKUKURU hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua Itapungua kwa kiwango kikubwa na TAKUKURU watakuwa na uhuru mkubwa sana wa kufanya kazi

Tukiwa na spika ambaye hatokani na vyama vya siasa na katiba ikasema hivyo

Katiba ikisema majaji wa mahakama kuu wasichaguliwe na Rais itapunguza changamoto nyingi sana za mahakama

Katiba mpya haiwezi maliza matatizo yote ila italeta unafuu mkubwa sana kuanzia kwenye kupata viongozi, kuhimiza uwajibikaji na kutenda haki
Ameyanena hayo kwenye muktadha upi!!?
Ni vyema ukaweka hapa video yote alipokuwa akiyaongea hayo tafadhali.
 
Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale

Fikra zetu zipo hivi sababu ya katiba iliyopo kwanini mtanzania huyu huyu akienda marekani ghafla anaanza kulipa kodi, anatii sheria ila alivyokuwa Tanzania alikuwa halipi kodi na hatii-sheria unafikiri huyu mtu tatizo ni fikra hapana sio fikra ni katiba ya nchi ambayo inaunda sheria zote na taasisi zote za nchi

Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi wa TAKUKURU hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua Itapungua kwa kiwango kikubwa na TAKUKURU watakuwa na uhuru mkubwa sana wa kufanya kazi

Tukiwa na spika ambaye hatokani na vyama vya siasa na katiba ikasema hivyo

Katiba ikisema majaji wa mahakama kuu wasichaguliwe na Rais itapunguza changamoto nyingi sana za mahakama

Katiba mpya haiwezi maliza matatizo yote ila italeta unafuu mkubwa sana kuanzia kwenye kupata viongozi, kuhimiza uwajibikaji na kutenda haki
Sidhani kama umeelewa
 
Hapana hapa sikuungi mkono
Viongozi wa chadema ni binadamu wanaweza kukosea
Sio lazima niungwe mkono kwa mtazamo na mawazo yangu, ni kweli hakuna binadamu mkamilifu lakini kukubaliana au kutofautiana mitazamo nako ni hali ya kawaida.

Note: Niliomba ushahidi wa andiko au video iliyomfanya huyu mleta uzi kuandika andiko la hovyo kama hili

Chadema

Lissu Tundu
Heche John
Mnyika JJ
Brenda Rupia
Godbless Lema

CCM

Samia SH
Wassira Steven
Asha Rose Migiro
Kihongosi Keenan
Na Mjumbe yeyote yule

Pambanisha hizo timu tuone ni timu gani itaibuka na ushindi ukiachana na mapungufu ya kibinadamu
 
Back
Top Bottom