Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

Amesema wapi hayo maneno
Nataka kujua nipate uhakika wa kuchangia
Huyu chalii huwa anajiona ana akili nyingi sana kuliko Mtanzania yeyote 😀

Ndio yaleyale ya Jamhuri kumshitaki Lissu kwa kusikiliza video ya masaa 3 na kuchukua maneno yasiyozidi hata dk 3 na kuyageuza kuwa kesi.

Ni muhimu awake hilo andiko au video tusome / tuione mpaka mwisho
 
Ndio naakili na natumia uhuru wangu wa kutoa maoni
 
Huyu chalii huwa anajiona ana akili nyingi sana kuliko Mtanzania yeyote 😀

Ndio yaleyale ya Jamhuri kumshitaki Lissu kwa kusikiliza video ya masaa 3 na kuchukua maneno yasiyozidi hata dk 3 na kuyageuza kuwa kesi.

Ni muhimu awake hilo andiko au video tusome / tuione mpaka mwisho
Yes ndio maana nimemuomba aweke au aseme wapi kapost ili nipate uhakika wa kuchangia
 
Huyu chalii huwa anajiona ana akili nyingi sana kuliko Mtanzania yeyote 😀

Ndio yaleyale ya Jamhuri kumshitaki Lissu kwa kusikiliza video ya masaa 3 na kuchukua maneno yasiyozidi hata dk 3 na kuyageuza kuwa kesi.

Ni muhimu awake hilo andiko au video tusome / tuione mpaka mwisho
Dogo nilishamshauri mara kibao atafute shughuli ya kufanya anakaza kichwa TU.

Cc secretarybird
 
Yaani kumkashifu Lema nimemdharau sana , mjumbe wa Kamati kuu aliyeteuliwa na Lissu na kupigiwa kura na Wajumbe 😀
Hapa napingana na wewe kama lema kaongea utumbo lazima azodolewe
Hata kama TL alimchagua

Muhimu aweke ushahidi sio kuleta habari kama umbeya
 
Hakuna kiongozi wa chadema ana low thinking capacity hilo nalikataa, la msingi aweke huo ushahidi wa maandishi au video/sauti tuone /tusome
 
Back
Top Bottom