Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha
Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma za shoo time zinamtia janaba mbinguni
Hongereni familia kwa kuendelea UJENZI hapo aliko zikwa kwa kweli Mama Magufuli augue salama
Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma za shoo time zinamtia janaba mbinguni
Hongereni familia kwa kuendelea UJENZI hapo aliko zikwa kwa kweli Mama Magufuli augue salama