Uwekezaji Simba: Wako wapi wawekezaji wengine wawili waliotajwa kwenye kanuni za Tume ya Ushindani?

Comment yako ipo nje ya Mada. Ulipaswa kunyamaza au utokuwa Member kutokana na mawazo yako hayo
Hapana, watz tumezidi makelele sana wakati simba hohehae hukwenda kuwasaidia chochote lakini kajitokeza mtu anafanya nao biashara unapiga makelele, hivi unazani ukijitokeza leo na deal la trilioni 2 simba watakukatalia? Mna mneno mengi bila vitendo
 
Kuisaidia Simba ni Jambo moja.

Kuitumia Simba kiujanjaujanja ili kufanikisha Malengo yako ni jambo jingine. Haimaanishi kila Mwenye fedha adhulumu au kuwanyonya watu kwa sababu ya shida zao. Si sawa kununua timu na kuhodhi kila kitu kiujanjaujanja. Bosi wa timu ni mwenye 51% ambaye ni Mwenyekiti wa wanachama.
FCC walikataa kuitambua nafasi ya CEO , ambayo Mo ndo ameilazimisha ili kufanikisha malengo yake.

UTAPELI
 
Mkuu kwanini huendi mahakamani kupinga haya? Ndio maana hizi naziita kelele ambazo haziisaidii chochote simba wala wewe
 
Kwani ukiacha kusoma huu uzi na wewe utapungukiwa nini.

Ndo maana nakuona Mganga njaa unayeamini Fedha zinaweza hata kumfanya mtu apoteze haki yake
 
Kati yangu na wewe nani mganga njaa? Hata ukimuonea wivu Mo haitasaidia kupunguza umasikini wako
 
Back
Top Bottom