Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
hahahaUtajua sasa!!!
hahahaUtajua sasa!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]sina baby upunguze miwivu
nomaDuuuuu hatariiii....
Nyooooo.oo kila mtu anapitia njia kakeacha roho mbaya ,unachotakiwa round ya pili kuongeza mautundu
Shauri yako kitaoza hichoooNyooooo.oo kila mtu anapitia njia kake
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nyoka babu ukosi jibuBado ??
kwani vp mkuu yupo uko kwenye familia alobaki mnipe ?
Nikweli sometime huwa tunajuta coz hakuna response yeyote kwa yule mlie sex nae unabakia kulaum nafsi Tu!ihate them!Mara nying Tofaut ni pale unapomtoa posho ndogo!Vipi dada limekutokea nini?
Any way kwa mtazamo wangu naona hapo bado nafsi ya huyo mtenda ambaye anamsifia mwenza wake bado iko hai, na baada hapo hupata majuto juu ya alichokuwa anakifanya. Ndio maana tunashauliwa ni vema kila mmoja kuwa na wake. Hii ya kuvamia mapori ya watu inatupotezea muda tu
Teh teh..Kabla ya kusema hivyo inabidi nijiridhishe kwanza..ungemwambia nina papuche tamu bhaaas
Inawezekana alitarajia kufaidi zaidi ya alivyozoea siku zote kwa mke/mme wake matokeo yake akakuta tofauti yaani mkewe/ mmewe ni zaidi ya aliyetembea naye hapo ndio anapotoa hayo maneno yake ya shomboHabari za Ijumaa wapendwa,
Hivi unapokuwa maeneo ya faragha na mume au mke wa mtu, na ghafla tu anaanza kumsifia mke/mume wake unajisikiaje? Hatua gani utakayo chukua?
Kweli upo kwenye tafitiIkitokea ameshamaliza kula na hapo anamwaga pumba zake na taulo akiwa anatoka bafuni.
hiyo kawaida tu mbona.. sema najua wanawake mnapenda kusikia mabaya ya mke ha hahaha
halafu kumbe wewe baada ya bao la kwanza huna hamu tenakuna mdada kila akinipa namsiifia kua yeye ni mtamu sana,,alafu namponda bby wangu,,basi bishost atajitutumua huyo