Uwapo faragha na mume/mke wa mtu.

Uwapo faragha na mume/mke wa mtu.

Hiyo tabia wanayo wanawake, na kama mwanaume ndo amefanya huo unyumbu basi ni baada ya kupewa papuchi,, You know wanaume tunaformula moja tunaitumia huwa tuna act kama watumwa pale tunapolilia papuchi na tukiipata huwa tunaact like a boss, big boss kabisa...
 
hahahaaaaaaa.... hata asipomsifia unatakiwa kujua kuwa mke/mume wake ni mtaam na mzuri kuliko wewe ndio maana alimuoa.. labda kama walioana mabikra hapo siwezi tia neno
 
Habari za Ijumaa wapendwa,

Hivi unapokuwa maeneo ya faragha na mume au mke wa mtu, na ghafla tu anaanza kumsifia mke/mume wake unajisikiaje? Hatua gani utakayo chukua?
My dia mi naona kama anamsifia ili tu ujue kuwa even if he is cheating lakin bado mkewe anampenda na ni kama hataki kujisikia mwenye makosa(anajipa uhalali).
 
Habari za Ijumaa wapendwa,

Hivi unapokuwa maeneo ya faragha na mume au mke wa mtu, na ghafla tu anaanza kumsifia mke/mume wake unajisikiaje? Hatua gani utakayo chukua?
Ukiwa faragha n mke/mume watu hakuna maana ya kuongelea mliowaacha nyumbani....fanyeni kilichowapeleka na sio hao mahali mmekwenda kwa faragha basi muhimu kuzungumzia ya kwenu kuondoa kutofautiana baada ya muda maongezi yakinoga
 
Kumsifia me/ke wake ni jambo jema sana, nitamuona mwenye busara,.. Kwann!; akianza kumponda me/ke wake utambue kesho atakuponda na wewe pia... Halafu c wa kwake na wewe ni mchepuko, sasa umepewa lift unataka upige na honi! Duuh.. Ukiwa mroho, usiwe mchoyo
 
Ngoja mtaalam wa hayo mambo-rubii aje huku, i think tutapata jibu zuri sana! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hiyo tabia wanayo wanawake, na kama mwanaume ndo amefanya huo unyumbu basi ni baada ya kupewa papuchi,, You know wanaume tunaformula moja tunaitumia huwa tuna act kama watumwa pale tunapolilia papuchi na tukiipata huwa tunaact like a boss, big boss kabisa...
Duuuuu hatariiii....
 
Ikitokea ameshamaliza kula na hapo anamwaga pumba zake na taulo akiwa anatoka bafuni.

Ujue kakuta tofauti kubwa sana na alichokitarajia kwako. Yawezekana alikuta kazamia mtera au pengine yeye ni mzoea mtera kakuta jangwa. Yote hayo ni kuwa hatakaa arudie hapo. Anajuuta
 
Habari za Ijumaa wapendwa,

Hivi unapokuwa maeneo ya faragha na mume au mke wa mtu, na ghafla tu anaanza kumsifia mke/mume wake unajisikiaje? Hatua gani utakayo chukua?

Napanda darini kujificha huku nikijicheka kwa ujinga na tamaa zangu.
 
Back
Top Bottom