Uwapo faragha na mume/mke wa mtu.

Uwapo faragha na mume/mke wa mtu.

Kuna dada flani tulisafiri wote kwenda mikoani huko, tukabadilishana namba, tumewasiliana kwa takriban miaka 4 ikatokea nimesafiri kuelekea mkoa aliopo tukafanya yetu, siku zote hakuwahi kunambia kama kaolewa hata nilipomuuliza alikataa, ktk malovedavi sijui ndo kunogewa au nini akaanza oooh mi mume wangu hajawahi kunit omba vizuri hivi mbalizi1 usiniache ,nilishuka palepale na mahusiano yakafa
 
Enzi zile za awamu ya nne,kuna dada alipangishiwa nyumba na kununuliwa gari na kibosile mmoja mume wa mtu. Mashart yule baba aliyaweka kuwa hawezi kwenda nyumbani kwa bidada, wanakutana Kempisnki, yule baba hata akionekana na watu wa karibu pale anadai yuko kwenye business meeting (alikuwa maarafu). Sasa siku moja wakati wa tendo bidada akimtaja boy friend wake ambae wameshaa ahidiana ndoa. Yule baba alibonyea ilirudi na kuondoka.
 
Hiyo conclusion yako hapo ama ndio tafsida zenyewe?
 
miss chaga mbona kama hapa umejitoa mkwenye mke na kujisajili kwenye mme??
mi naonaga pouwa tu ni haki ya mke,,, sababu bila mke kumuweka smart na kumpa sapoti atafute pesa nisingeweza kuwa naye .. na mwanaume anayemponda mke wake huyo ni adui yangu mkubwa sababu hata iweje siwezi chukua nafasi ya mke wake aisee.. hajali huko kwake kwangu ni maswala ya bambucha tu si mapenzi wala nini
 
mashallah uko good[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kuna wakati nilijua wewe ni mdada baadaye kutokana na avatar zako nikajua wewe ni ME leo nimepata uhakika kwamba nilikuwa sahihi mwanzoni.
Ni lidada moja zuri sana..Linamshape wa kibantu..Usitie shaka hata kidogo mkuu
 
Mnapokutana faragha kazi huwa ni moja tu ya kupeana uhondo... Kuleta maongezi faragha ni kuvunja protocol na pale unapopewa maneno ya shombo usilaumu...
 
kabisa ukicheat na me no time for love ni spending tu na bata ... mapenzi peleka kwa familia yako usiniletee laana sizokuwa na msingi
hapa najiona kama nishacheat na ww ndo unanipa makavu kama haya ..

Nahisi kama roho yataka kuacha mwili
 
tena nakufukuza muda wa mkeo uwe nyumbani asijelalamika.. bible inasema mpende mke wa ujana wako inamaana nyngi sina amekuvumilia kwa mengi leo unamuona hovyo kisa binti tu uliyekutana naye aisee ni mbaya sana.. machozi ya wake zenu hayaendagi bure aisee usifanye mchezo... akiamua kumwachia Mungu unaweza kufa hata kabla ya wakati .... penda tafuta namna ya kuleta amani nadani ya nyumba yako .. omba hekima, amani, furaha na upendo hakika utaenjoy maisha .. cheating ni tempory sln tu
 
hahaha ngoja kwanza niowe alafu ntakutafta kama mchipuko maana wanifaa wallah[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ikitokea ameshamaliza kula na hapo anamwaga pumba zake na taulo akiwa anatoka bafuni.
uzuri wangu nina maneno ova mzaram ntamchamba mpaka ashangae kama au ili kumkomesha na mm nampa store za boyfrienda wangu anavyonisugua hahaha nadhani kila mmoja ataondoka na njia yake
 
Back
Top Bottom