Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
pesa tutatafuta mimi na ww kama tutavyokuwa tunatumiauwe na pesa hasa
pesa tutatafuta mimi na ww kama tutavyokuwa tunatumiauwe na pesa hasa
utatafuta na mkeo mi ni mtumiaji tupesa tutatafuta mimi na ww kama tutavyokuwa tunatumia
Swadakthiyo kawaida tu mbona.. sema najua wanawake mnapenda kusikia mabaya ya mke ha hahaha
hakuna hiyo kitu ,,,utatafuta na mkeo mi ni mtumiaji tu
forget about thathakuna hiyo kitu ,,,
unayetafuta naye kuni ndio unayeota moto naye ...
kwahiyo mama acha tuzitafute pamoja
Mmmh.Habari za Ijumaa wapendwa,
Hivi unapokuwa maeneo ya faragha na mume au mke wa mtu, na ghafla tu anaanza kumsifia mke/mume wake unajisikiaje? Hatua gani utakayo chukua?
Habari za Ijumaa wapendwa,
Hivi unapokuwa maeneo ya faragha na mume au mke wa mtu, na ghafla tu anaanza kumsifia mke/mume wake unajisikiaje? Hatua gani utakayo chukua?
uwe na pesa hasa
hapana ila ni muhimu hasa kwanguKwani pesa inaongeza performance kwenye mahusiano pia?
Yategemeana pengine ndo mara ya kwanza kuonana.kama hajafurahishwa na penzi lake sasa alikwenda hapo kufanya nini na kama mke au mumewe ni bora angetulia uko
hapana ila ni muhimu hasa kwangu
okey kwa kuwa umesema nisijibu sitajibuKama ndivyo napata mashaka kama huyo utakuwa umempenda yeye ama pesa yake tu. Any way don't respond on this, maana sio kila tunachoandika hapa ndicho kilichopo miyoni mwetu ingawa sometime inakuwa ndio.
asante nawe pia mkuuNikutakie weekend njema miss chagga
asante nawe pia mkuu
Hilo kofi la bukuKwanza awez labda awe zuzu au yule anaempondea mke wake au mume wake ni zuzu kabisa... Yan m2 wa hvo akiwa na mm nambabua kofi la buku! Coz that's your time mkewe au mumewe hakuhusu kabisa! Labda awe anakuona wew kama kipozeo
Nakufata popote nimekumishapo mnatakiwa zitawale habari zenu tu
hahahahaforget about that
sawa mkuuYategemeana pengine ndo mara ya kwanza kuonana.