Uwanja wa Uhuru umefurika sana!, watu Washindwa kuaga. Watakiwa kujipanga barabarani kuelekea Uwanja wa ndege ili waweze kupunga mkono

Duh! Hata yeye angeona hiki kinachotokea hapa angeogopa! Yaani hata kama kuna mtu alipanga kusherehekea msiba wa huyu mzee, inabidi utafute chochoro au chimbo fulani kufanya hivyo muda huu!
Nafsi inaona haiwezi
 
Wengine hapo wanaenda kumdhihaki marehemu wanajisemea tambo zote zile sasa umelala baridi huwezi hata kuinua ukucha Mungu fundi sana aisee.
 
Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.

Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani lazima Watu wote wa Dar wamwone? Mwisho tutataka Mikoa 26 Kumbukeni Mke wa Marehemu na Familia yake Wanavyoumia
 
Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.

Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana.

Maendeleo hayana vyama!
Ombi la kipumbavu sana hili uliloomba..
He is dead..he is lifeless..harudi tenaaa..!!!
Watu wana furaha kuu.
 
Kila mkoa tunahitaji apite.Kila mkoa kauacha vjzuri sio dar peke ake
 
Mama Mh Rais Samia SH akiendelea hivi atafika mbali na atafanikiwa sana. Lakini asipokuwa makini na washauri wakina Lema, Lissu sijui JK4 na waina hiyo hata tukisugua magoti vipi kumuombea atakuwa na wakati mgumu sana.
 
Waombolezaji hawataisha daima,yawezekana wanyonge ni wengi mno.
Ratiba iendelee kama kawaida ili mwili upumzishwe.
 
Nyiny hamuwajui wabongo nyiny wabongo roho kwatu apo kuna mijiz,mitapeli,wengine apo wamekuja kufanya tu zogo na wengine no event tu kuja kushangaa na wengine ni wasanii wanalia kinafik tu apo huu umati si kigezo kwamba he is in people heart
Declare interest tu mkuu kwamba unaumizwa na JPM anavyopendwa, trus me jamaa anapendwa mno mno! Hata zile kura za mwaka jana tulimpa na baadhi ya wagombea wengine tuliwapa sabab ya JPM.
Mwenzangu na mm unaumia mtu kupendwa subir uondoke hata bundi wa ule mwembe wa kwenu hawatajua umekufwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi hamuwajui wabongo, wabongo roho kwatu hapo kuna mijiz, mitapeli, wengine hapo wamekuja kufanya tu zogo na wengine no event tu kuja kushangaa na wengine ni wasanii wanalia kinafik tu apo huu umati si kigezo kwamba he is in people heart
Ambao hayupo mioyoni mwao, hawajaenda
 
Back
Top Bottom