kumbe CDM ikiwa kazini hampumui eeh?
Nafikiri wafunge na roho za watu kwani hakuna mtu mwenye akili timamu kwa wakati huu utakayemweleza habari za magamba akakuelewa yanakataliwa kila sehemu wamuulize mzee wa kupindapinda yaliyompata Viwanja vya Sahara Mwanza.CCM kwa kupitia dola wamejipanga kweli kweli! Kazi kwa madiwani wa CDM kuibana halmashauri ya jiji kutoa sababu za msingi lakini pia CDM watafute mbinu mpya za kueneza elimu kwa wananchi bila kutegemea sana mikutano ya hadhara ambayo ni DHAHIRI kuna maelekezo ya kudhibiti kwa kutumia kila mbinu.
Siyo lazima huko mkutano unaweza kufanyika soweto au Uwanja wa sekondari ya mringa ni mkubwa sana.
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo.
Umefungwa kwa sababu gani na utafunguliwa lini tujuze.
Kweli?......................Hakuna alternative ya uwanja mwingine?..................so unfair
hata ikiwa Namanga....tutakwenda mkutanoni....CHADEMA haipo NMC.....CHADEMA ipo mioyoni mwetu.....
Jiandaeni kwa vurugu za wafanyabiashara ndogondogo.bora tutapumua
Wataruhusiwa..? Navyo itatafutwa sababu vifungwe.Viwanja vya Railway pale ambapo Mwakasege anafanyaga mikutano yake..ni eneo kubwa sana