Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

Kweli?......................Hakuna alternative ya uwanja mwingine?..................so unfair
Alternative ni Viwanja vya reli (mahali fulani nyuma ya Shoprite), Ngaranaro shule ya msingi (oops
watoto wanafanya mtihani); stadium (au kuna mechi?); Kaloleni mviringo! Nina uhakika kuwa mahali patapatikana tu. Penye njia pana njia!
 
Na mimi nimepita nikakuta wanafunga fence, nimemuuliza mwandishi mmoja akaniambia eti wanataka kujenga machinga complex, kinachosikitisha ni kwamba hili ndo eneo la wazi pekee lililokuwa limebaki Arusha.

Haya ni matunda ya kuwa na myopic leadership!
 
Wanajenga nini Preta?

wanasawazisha tu na uzio umeshawekwa......nimepita dk 5 zilizopita nimekuta watu wachache.....ila taarifa niliyopata......mkutano utakuwepo j4.....pipoooooz....
 
Last edited by a moderator:
waache ujinga vijana wetu watachezea wapi mpira? wao wajue wazi kuwa hila zao zote dhidi ya cdm ni bure,wakati huu Mungu yupo na cdm na sio mafisadi
 
Alternative ni Viwanja vya reli (mahali fulani nyuma ya Shoprite), Ngaranaro shule ya msingi (oops
watoto wanafanya mtihani); stadium (au kuna mechi?); Kaloleni mviringo! Nina uhakika kuwa mahali patapatikana tu. Penye njia pana njia!

pale kaloleni ni padogo....makamanda hawatatoshea.....
 
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo.

Nlipita hapo juz nkaona kama kuna kandarasi anatengeneza kalavat au!
 
Back
Top Bottom