kumbe cdm ikiwa kazini hampumui eeh?
sawa kabisa.....twende relini....Mwakasege alimaliza mkutano tayari.....
Umefungwa kwa sababu gani na utafunguliwa lini tujuze.
Hata Soweto siyo mbaya....
Very interesting. Mbona limekuja ghafla. Sijasikia ikijadiliwa na madiwani. Am not sure, but I doubt political agenda behind the scene.
Kweli?......................Hakuna alternative ya uwanja mwingine?..................so unfair
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo.
Watafunga viwanja ila hawawezi kufunga masikio na macho ya watu.
bora tutapumua
Viongozi watizame eneo mbadala na hilo ili twende nao sawa hawa Mafisadi[LAKIN+SIO KIRAHISI KIASI HICHO.