Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Before you cheat upime upendo wako kwake je unalingana na tamaa za mwili wako

Ulishawahi kusikia msemo “karma is a bitch” think twice before you cheat!! Kama umeshamilia kuvumilia na umeshindwa ushauri wangu tafuta hela mfate hata kwa wiki moja labda kama anasomea Iraq otherwise piga nyeto and don’t cheat ukifanya hivo just know penzi lenu linapotelea hewani. Kumbuka hamu ya kufanya mapenzi hata yeye anayo
Hakuna Kupimaa huyoo Demu Ana MTU na wanadate vizurii tuuu
 
Hakuna Kupimaa huyoo Demu Ana MTU na wanadate vizurii tuuu
Sio Rahisi Demu wangu kuwa na mtu mwingine kwa sasa hivi,japo katika mahusiano chochote kinawezekana kutokea,ananipenda na nakuniheshimu sana!.
 
Sio Rahisi Demu wangu kuwa na mtu mwingine kwa sasa hivi,japo katika mahusiano chochote kinawezekana kutokea,ananipenda na nakuniheshimu sana!.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Unahitaji Maombi ya Mfungo ndugu kuondoa ujinga ulinao juu ya Wanawakee...!! Unadhani huko anauwezo wa kuwakatalia wanaume wote wanaomtaka??? Afu wewe upo huku tz... Atachepuka kwa kigezo kuwa hata wewe huku unachepuka lazimaa..Kumbe jamaa upo unashangaa shangaa tu mjini hapaa
 
Sio Rahisi yeye kunisaliti ananipenda sana!
ha ha ha ha ha ha ha ha ha 😂 ARE YOU SERIOUS?????????? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] ARE YOU SERIOUS?????????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi mkuu,mbona kicheko kikubwa sana.
 
Nataka nikusaidie kukuondolea ugwadu ila sina shida ya mahusiano mana nina ndoa so chakufanya tafuta laki tano ukipata nishtue nije nikupe show moja ya kibabe kwa siku moja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji251]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Before you cheat upime upendo wako kwake je unalingana na tamaa za mwili wako

Ulishawahi kusikia msemo “karma is a bitch” think twice before you cheat!! Kama umeshamilia kuvumilia na umeshindwa ushauri wangu tafuta hela mfate hata kwa wiki moja labda kama anasomea Iraq otherwise piga nyeto and don’t cheat ukifanya hivo just know penzi lenu linapotelea hewani. Kumbuka hamu ya kufanya mapenzi hata yeye anayo
Asante!,kwa ushauri mkuu!
 
Helloh jf!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana
nina Girlfriend wangu ninampenda
Sana,ila changamoto niliyinayo kwa
Sasa,ni mwaka wa pili umepita tangu alipoenda kusoma nje ya nchi,
Kipindi anaondoka tulipeana ahadi kuwa atakapomaliza masoma tuje
Tufanye mpango wa kufunga ndoa.

Kusema kweli nimevumilia miaka yote miwili tangu alipoondoka sijafanya mapenzi na mwanamke yoyote,nimefanya hivyo kwa sababu
Ya upendo wangu kwake,nashukuru
Tunawasiliana vizuri tu bila shida

Ilala sasa uvumilivu unaelekea kunishinda,Mihemko ya kusex imenikaba kweli kweli,najaribu kufanya mazoezi wapi,naji keep busy sana lakini wapi,Binafsi sitaki
Kabisa kumsaliti lakini hali naona inaelekea kunishinda,maana bado miaka miwili ili arudi Tz.


Sometimes napata vishawishi vya kwenda kununua mademu wanaojiuza nina uwezo wa kutoa hata laki per night lakini nahofia
Magonjwa,nina uwezo pia wa kutongoza demu mwingine lakini
Najua nitamdanganya tu halafu
Nitakuja. Kumuacha siku akirudi
My princess,sasa na mimi sipendi
Hali hiyo itokee najua nitamuachia
Maumivu ya moyo binti wa watu.

Sasa nimeamua kutafuta humu msichana ambaye yupo single
Ambae atakuwa tayari kwa mahusiano ya mda mfupi na mimi
Mpaka atakaporudi Girlfriend wangu
na awe tayari kwenda kupima afya.

Ani PM

Nawasilisha.
Aisee.....asa unaishije mkuu....tafuta totoz mzee....
 
Ngono kabla ya ndoa ni dhambi na ni kinyume cha maadili. Nani alikuruhusu kungonoka na mtoto wa watu kabla ya kumlipia mahari na kupata baraka za kidini?
Miaka ya nyuma enzi za wazazi wetu walikuwa wanalipa mahari then unavuta mzigo ndani bila kubariki Wala kufunga ndoa kwanza. Na walikuwa wanaishi miaka mingi bila quarrels yoyote. Ila siku izi ukitaka kuoa sharti mfunge ndoa baada ya muda wanatengana kwa kisingizio tu tumeshindwana....wanagawana 50 kwa 50. Ndugu tatizo Nini Kwenye mahusiano ya siku izi???
 
Haaaaa haaaaa! Mkuu, lengo la ujumbe wako woote ni hapo mwishoni sema umezunguka sana! Shauri yako, utakufa na utamu wako ohooo! Endelea kumsubiria.
 
Mimi kuna jamaa yangu kahamia dodoma mke kamwacha dar....basi yule jamaa kaniambia kua huko dom anawala sana watoto wa cbe....lakin na yeye ana mashaka kua mke wake aliyemwacha dar inaezekana na yeye analiwa....
 
Nataka nikusaidie kukuondolea ugwadu ila sina shida ya mahusiano mana nina ndoa so chakufanya tafuta laki tano ukipata nishtue nije nikupe show moja ya kibabe kwa siku moja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji251]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo papuchi itakua na maua sio bure
 
Manina wacha kuendekeza ngono, mbona watu tuna almost 2 year.bila hii kitu tuko normal? Kama unampenda endelea kumsubiri.

Noteeeeeeeeeeeeeeeeeee bila unafiki:

Ila nikushauri kitu, usijiumize kiasi hicho trust me uko aliko anakunjwa kila Siku wewe unajinyima,( naongea kutoka moyoni) najua maumivu ya kupenda MTU ukampa thamani kuliko wengine. Kuna siku utasikia ana mimba ya mzungu.

Dunia haiko fair,(naongea kutoka moyoni) kama una hamu wewe nunua kondomu, maliza hamu zako,tena Leo j2 usisubiri kesho, narudia tena ukisoma hapa kimbia pharmacy uchukue zana.

Unless usifanye kwa reasons nyingine ila sio za kumsubiri huyo princess wenu/ wako.
Daaaah! Ukweli mtupu japo mchungu
 
Back
Top Bottom