Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Utampata na kupima mtapima vizuri, ila tambua hadi mpenzi wako ataporudi mtakuwa mmeshapata mtoto na huyu mpenzi mpya.

Na hapo ndipo utakuwa mwisho wa masimlizi yenu ya ndoa na huyo aliyeko nje ya nchi.
Sio rahisi na siwezi kuruhusu kitu kama hicho
Mkuu!.
 
Manina wacha kuendekeza ngono, mbona watu tuna almost 2 year.bila hii kitu tuko normal? Kama unampenda endelea kumsubiri.

Noteeeeeeeeeeeeeeeeeee bila unafiki:

Ila nikushauri kitu, usijiumize kiasi hicho trust me uko aliko anakunjwa kila Siku wewe unajinyima,( naongea kutoka moyoni) najua maumivu ya kupenda MTU ukampa thamani kuliko wengine. Kuna siku utasikia ana mimba ya mzungu.

Dunia haiko fair,(naongea kutoka moyoni) kama una hamu wewe nunua kondomu, maliza hamu zako,tena Leo j2 usisubiri kesho, narudia tena ukisoma hapa kimbia pharmacy uchukue zana.

Unless usifanye kwa reasons nyingine ila sio za kumsubiri huyo princess wenu/ wako.
 
Utampata na kupima mtapima vizuri, ila tambua hadi mpenzi wako ataporudi mtakuwa mmeshapata mtoto na huyu mpenzi mpya.

Na hapo ndipo utakuwa mwisho wa masimlizi yenu ya ndoa na huyo aliyeko nje ya nchi.
Kuna ukweli mchungu hapa......
 
Kweli binadam tunatofautiana....miaka miwili hugegedi??? ....asalaaaaale so ajabu mwenzako kule anamaliza style zote kusuuza nyoyo za watu.

Walah huu uvumilivu mimi siwezi abadan....ya nini nisiseme ukweli??.... siwezi mimi.
Hahaha,sawa mkuu tunatofautiana uvumilivu.
 
Mwanaume unalialia hujaanza hata kuwa na familia, kizazi cha digital mnashida gani? Kwani unashindwa kupiga mashine huko mtaani kwenu hafu unakuja kuanzisha uzi humu au unataka mademu wakuonee huruma? Wengi humu wanataka ndoa au kulelewa hadi watakapo zeeka
Sijalia mkuu ila nimeeleza condition niliyonayo nahitaji langu la mahusiano ya mda mfupi,kwani mademu wa mtaani wanatofauti gani na wa humu?,humu napo nisehemu wanapopatikana pia.
 
Utampata na kupima mtapima vizuri, ila tambua hadi mpenzi wako ataporudi mtakuwa mmeshapata mtoto na huyu mpenzi mpya.

Na hapo ndipo utakuwa mwisho wa masimlizi yenu ya ndoa na huyo aliyeko nje ya nchi.
h
ahahahaahhahah!aiseee!jamaa kazijaza akipiga shoot 1 kazygot hakooo
 
Nataka nikusaidie kukuondolea ugwadu ila sina shida ya mahusiano mana nina ndoa so chakufanya tafuta laki tano ukipata nishtue nije nikupe show moja ya kibabe kwa siku moja tu
Laki tano sio shida ila hofu yangu ni huyo mmeo,naogopa fumanizi la mke wa mtu mkuu!
 
Sasa kwann utafute aliyesingo wakati una mtu wako, tafuta ambaye ana mtu pia
Natafuta aliyesingle ilikuepusha ugomvi na mtu wake,nisije nikakutwa nae maeneo ya kula raha halafu ikawa shida.
 
Manina wacha kuendekeza ngono, mbona watu tuna almost 2 year.bila hii kitu tuko normal? Kama unampenda endelea kumsubiri.

Noteeeeeeeeeeeeeeeeeee bila unafiki:

Ila nikushauri kitu, usijiumize kiasi hicho trust me uko aliko anakunjwa kila Siku wewe unajinyima,( naongea kutoka moyoni) najua maumivu ya kupenda MTU ukampa thamani kuliko wengine. Kuna siku utasikia ana mimba ya mzungu.

Dunia haiko fair,(naongea kutoka moyoni) kama una hamu wewe nunua kondomu, maliza hamu zako,tena Leo j2 usisubiri kesho, narudia tena ukisoma hapa kimbia pharmacy uchukue zana.

Unless usifanye kwa reasons nyingine ila sio za kumsubiri huyo princess wenu/ wako.
Kwake Kunisaliti sio rahisi mkuu,lakini hata hivyo nitaufanyia kazi ushauri wako.
 
Kweli binadam tunatofautiana....miaka miwili hugegedi??? ....asalaaaaale so ajabu mwenzako kule anamaliza style zote kusuuza nyoyo za watu.

Walah huu uvumilivu mimi siwezi abadan....ya nini nisiseme ukweli??.... siwezi mimi.
Hata mimi kanishangaza mheshimiwa wakati mimi kumaliza tu hati siku 3 ni shughuli pevu yaani huwa nafanya sherehe nikivusha hizo siku
 
Humu wangekua wwnaruhusu matusi,ningekupiga booonge moja ya tusi
 
Back
Top Bottom