Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Kwamba akili yako ime freezeNitumie nauli..nije nimekubali.
Hapo kwenye kutumiwa nauli jiongeze
Mwenzio kataka apewe 500k Night
Kwamba akili yako ime freezeNitumie nauli..nije nimekubali.
Mimi nataka nauli tuu niende nikampe. Sitaki ,500k
Nataka nikusaidie kukuondolea ugwadu ila sina shida ya mahusiano mana nina ndoa so chakufanya tafuta laki tano ukipata nishtue nije nikupe show moja ya kibabe kwa siku moja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji251]
Nauli tu haina shida,ni pm namba yako nikufanyie muamala faster mrembo.Nitumie nauli..nije nimekubali.
Hatimae!Nauli tu haina shida,ni pm namba yako nikufanyie muamala faster mrembo.
Safi sana na huo ndio uungwana,kwa nni tuuziane bhana.Mimi nataka nauli tuu niende nikampe. Sitaki ,500k
Sawa mkuuHivi wewe unataka kumsubiri mtu miaka 2 ???? Hiyo haiwezekani asilani kwa mtu rijali ,,,,,,hata week 2 ni ngumu sana.Tafuta msichana wa kula nae upepo wa muda mfupi usije kuwa kichaa bure kwa kuteseka na hamu ya ngono.
Endelea kuvumilia akati mwenzio Anapewa vitu huko
Sawa mkuuEndelea kusubir
Kuna ule usemi wa "mvumilivu hula mbivu" angalia mkuu, usijekula zilizo oza mkuu,pia sidhani kama kuna mwanamke anaweza kubali akawa na mahusiano ya muda mfupi huku akijua yupo mwanamke uliye na malengo naye,labda awe kimaslahi zaidi...................................................Mapenzi si ya mchezo unaweza anzisha mahusiano ukiamini ni ya muda mfupi matokeo yake ukajikuta una fall in love,na kumsahau huyo unayehisi ndo chaguo lako,au ikawa ndo mwanzo wa mchepuko baada ya kumuoa huyo mtarajiwa.Helloh jf!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana
nina Girlfriend wangu ninampenda
Sana,ila changamoto niliyinayo kwa
Sasa,ni mwaka wa pili umepita tangu alipoenda kusoma nje ya nchi,
Kipindi anaondoka tulipeana ahadi kuwa atakapomaliza masoma tuje
Tufanye mpango wa kufunga ndoa.
Kusema kweli nimevumilia miaka yote miwili tangu alipoondoka sijafanya mapenzi na mwanamke yoyote,nimefanya hivyo kwa sababu
Ya upendo wangu kwake,nashukuru
Tunawasiliana vizuri tu bila shida
Ilala sasa uvumilivu unaelekea kunishinda,Mihemko ya kusex imenikaba kweli kweli,najaribu kufanya mazoezi wapi,naji keep busy sana lakini wapi,Binafsi sitaki
Kabisa kumsaliti lakini hali naona inaelekea kunishinda,maana bado miaka miwili ili arudi Tz.
Sometimes napata vishawishi vya kwenda kununua mademu wanaojiuza nina uwezo wa kutoa hata laki per night lakini nahofia
Magonjwa,nina uwezo pia wa kutongoza demu mwingine lakini
Najua nitamdanganya tu halafu
Nitakuja. Kumuacha siku akirudi
My princess,sasa na mimi sipendi
Hali hiyo itokee najua nitamuachia
Maumivu ya moyo binti wa watu.
Sasa nimeamua kutafuta humu msichana ambaye yupo single
Ambae atakuwa tayari kwa mahusiano ya mda mfupi na mimi
Mpaka atakaporudi Girlfriend wangu
na awe tayari kwenda kupima afya.
Ani PM
Nawasilisha.
Alaa sawa sawa!Sio Rahisi yeye kunisaliti ananipenda sana!
AhahahahahahSio Rahisi yeye kunisaliti ananipenda sana!
Mbona unanicheka mkuu?
SawaAlaa sawa sawa!
Asante! Kwa ushauri mkuu!Kuna ule usemi wa "mvumilivu hula mbivu" angalia mkuu, usijekula zilizo oza mkuu,pia sidhani kama kuna mwanamke anaweza kubali akawa na mahusiano ya muda mfupi huku akijua yupo mwanamke uliye na malengo naye,labda awe kimaslahi zaidi...................................................Mapenzi si ya mchezo unaweza anzisha mahusiano ukiamini ni ya muda mfupi matokeo yake ukajikuta una fall in love,na kumsahau huyo unayehisi ndo chaguo lako,au ikawa ndo mwanzo wa mchepuko baada ya kumuoa huyo mtarajiwa.
Changamkia fursa mkuu!Mi ninayo laki 6 tunafanyaje?