Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Nataka nikusaidie kukuondolea ugwadu ila sina shida ya mahusiano mana nina ndoa so chakufanya tafuta laki tano ukipata nishtue nije nikupe show moja ya kibabe kwa siku moja tu
Napanda dau nina laki 5 na mia (500100/=)
 
Manina wacha kuendekeza ngono, mbona watu tuna almost 2 year.bila hii kitu tuko normal? Kama unampenda endelea kumsubiri.

Noteeeeeeeeeeeeeeeeeee bila unafiki:

Ila nikushauri kitu, usijiumize kiasi hicho trust me uko aliko anakunjwa kila Siku wewe unajinyima,( naongea kutoka moyoni) najua maumivu ya kupenda MTU ukampa thamani kuliko wengine. Kuna siku utasikia ana mimba ya mzungu.

Dunia haiko fair,(naongea kutoka moyoni) kama una hamu wewe nunua kondomu, maliza hamu zako,tena Leo j2 usisubiri kesho, narudia tena ukisoma hapa kimbia pharmacy uchukue zana.

Unless usifanye kwa reasons nyingine ila sio za kumsubiri huyo princess wenu/ wako.
Inaitwa ukwel unaouma na uongo unaofariji ajipe yeye mwenyew wa kusema hawez msaliti ila watabir wa mambo ndo tushasem ukwel
 
Ulianza vizuri uzi ukaumalizia vibaya. Hivi hujiulizi kuwa yeye huko Je anajitunza na kuvumilia kama wewe?? Tuseme; Angelikuwa yupo hapa na amepatwa na tatizo mkaambiwa asijaribu kukupa kamchezo kwa 4 yrs Je ungefanya kwa nguvu??
Kijana tulia tulia kabisa. Nyiye ndo mnakuja lalamika kuwa; Nilitafuta wa muda tu sasa nimenogewa kuliko yule wangu. Kama wewe unataka kupata kipoozeo hata yeye anataka kipoozeo cha kweli wala asitumie midoli ya huko.
Hakuna kitu cha maana kama uaminifu kwenye mapenzi. Hamu ikikuzidi, tumia sabuni na picha ya huyo mpenzi wako
 
Tatizo nyinyi wanawake mnapenda kudanganywa mkiambiawa ukweli hamtaki,na kama ni dhambi cute b umefanya ngapi bhana?,ukifanya na wengine sawa ila ukifanya na mimi
Na dhambi?,acha hizo wwe njoo tupeane utamu tusogeze siku.
Kaza mwanangu..
Ngoma yako hiyo
 
Helloh jf!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana
nina Girlfriend wangu ninampenda
Sana,ila changamoto niliyinayo kwa
Sasa,ni mwaka wa pili umepita tangu alipoenda kusoma nje ya nchi,
Kipindi anaondoka tulipeana ahadi kuwa atakapomaliza masoma tuje
Tufanye mpango wa kufunga ndoa.

Kusema kweli nimevumilia miaka yote miwili tangu alipoondoka sijafanya mapenzi na mwanamke yoyote,nimefanya hivyo kwa sababu
Ya upendo wangu kwake,nashukuru
Tunawasiliana vizuri tu bila shida

Ilala sasa uvumilivu unaelekea kunishinda,Mihemko ya kusex imenikaba kweli kweli,najaribu kufanya mazoezi wapi,naji keep busy sana lakini wapi,Binafsi sitaki
Kabisa kumsaliti lakini hali naona inaelekea kunishinda,maana bado miaka miwili ili arudi Tz.

Sometimes napata vishawishi vya kwenda kununua mademu wanaojiuza nina uwezo wa kutoa hata laki per night lakini nahofia
Magonjwa,nina uwezo pia wa kutongoza demu mwingine lakini
Najua nitamdanganya tu halafu
Nitakuja. Kumuacha siku akirudi
My princess,sasa na mimi sipendi
Hali hiyo itokee najua nitamuachia
Maumivu ya moyo binti wa watu.

Sasa nimeamua kutafuta humu msichana ambaye yupo single
Ambae atakuwa tayari kwa mahusiano ya mda mfupi na mimi
Mpaka atakaporudi Girlfriend wangu
na awe tayari kwenda kupima afya.

Ani PM

Nawasilisha.
Katafute mtaani kwenu mkuu
 
Manina wacha kuendekeza ngono, mbona watu tuna almost 2 year.bila hii kitu tuko normal? Kama unampenda endelea kumsubiri.

Noteeeeeeeeeeeeeeeeeee bila unafiki:

Ila nikushauri kitu, usijiumize kiasi hicho trust me uko aliko anakunjwa kila Siku wewe unajinyima,( naongea kutoka moyoni) najua maumivu ya kupenda MTU ukampa thamani kuliko wengine. Kuna siku utasikia ana mimba ya mzungu.

Dunia haiko fair,(naongea kutoka moyoni) kama una hamu wewe nunua kondomu, maliza hamu zako,tena Leo j2 usisubiri kesho, narudia tena ukisoma hapa kimbia pharmacy uchukue zana.

Unless usifanye kwa reasons nyingine ila sio za kumsubiri huyo princess wenu/ wako.
Miaka miwili bila gegedo?
Usingeweza kuandika ulichoandika hapa
 
Nataka nikusaidie kukuondolea ugwadu ila sina shida ya mahusiano mana nina ndoa so chakufanya tafuta laki tano ukipata nishtue nije nikupe show moja ya kibabe kwa siku moja tu
Ukimalizana na huyo mshikaji na mimi nataka......
 
Kwani huyo demu wako bikra mpaka leo?

Kama si bikra wewe ndyo wa kwanza kumtoa hyo kitu?
 
Dah parefu punguza na Mimi nije
Nataka nikusaidie kukuondolea ugwadu ila sina shida ya mahusiano mana nina ndoa so chakufanya tafuta laki tano ukipata nishtue nije nikupe show moja ya kibabe kwa siku moja tu
 
Back
Top Bottom