FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Huku ni -6°C
Hahahahaha sema sipo vizuri kwenye vipimo
Hahahahaha sema sipo vizuri kwenye vipimo
Yes,namjua vizuri ni mwanamke mwaminifu sana na mimi ndio nimemtoa bikra.Mkuu bado unakazia tu aya maneno siriaz??
Mkuu una umri gani kwanza?Sio Rahisi yeye kunisaliti ananipenda sana!
Hahahhh!,haya mkuu!.We mpe mafweza mkuu uone kam mume wake atajua,yaan kam shambulio la kumpiga risasi tundu lisu alaf mpak kesho hakuna wakujua
Hahahh!,sawa mkuu!.Hahahah akijibu hili niitee
Yelewiii hahahah
Basi jilegeze nikubebe mgongon iyelewi kisha unidekeze ulofundwa unyagoni
Hahahahha
Ni ukweli mkuu,ni mwaminifu sana!jodanganye tu
Naona unachangamkia fursa mkuu?Ukimalizana na huyo mshikaji na mimi nataka......
Yes,mmi ndio nimemtoa bikra mkuu!Kwani huyo demu wako bikra mpaka leo?
Kama si bikra wewe ndyo wa kwanza kumtoa hyo kitu?
Domo zege ningekuwa na demu wangu mkuu?,sipo hapa kutafuta mwanamke wa kuoa bali wa kula nae good time ila na yeye akiwa anajua siku yoyote nitamuachaYani umezunguuka weee afu mwisho wa siku point yako nimekusoma asee we jamaa kwa kifupi utakua domo zege trust me
Hivi ulishatafiti ukafanikiwa kupata dem asiye na historia ya kuwa na mtu?Natafuta aliyesingle ilikuepusha ugomvi na mtu wake,nisije nikakutwa nae maeneo ya kula raha halafu ikawa shida.
Sasa we endelea kumwamini uyo mpenzi wako mpaka siku atakayo Rudi mamayangu utakuja leta uzi mwingine hapa mkuu don trust women kwanza uko alipo u ajuaje kama agongwi ?Domo zege ningekuwa na demu wangu mkuu?,sipo hapa kutafuta mwanamke wa kuoa bali wa kula nae good time ila na yeye akiwa anajua siku yoyote nitamuacha
Coz na Girlfriend wangu na ninampenda sana.
In factHumu hamna wasichana unaowahitaji, wapo wanaotaka kuolewa tu. Tafuta wa mtaani kwenu tu huku utapigwa pesa tu
Hahaha kweli kabisa. Hapa nipo kumfuata mwenyew.Unaelekea!
Jamaa akikaza anakutafuna
Nitumie nauli..nije nimekubali.Tatizo nyinyi wanawake mnapenda kudanganywa mkiambiawa ukweli hamtaki,na kama ni dhambi cute b umefanya ngapi bhana?,ukifanya na wengine sawa ila ukifanya na mimi
Na dhambi?,acha hizo wwe njoo tupeane utamu tusogeze siku.
Ushaambiwa ishi na mwanamke kwa akili. We endelea kumuamini sana hvyo hvyo akirudi na mimba uje ujinyonge.Sio Rahisi Demu wangu kuwa na mtu mwingine kwa sasa hivi,japo katika mahusiano chochote kinawezekana kutokea,ananipenda na nakuniheshimu sana!.