Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Sio kwamba wana magonjwa wote ila asilimia kubwa wako hivyo,nachukua tahadhari kabla ya hatari.
Mademu wanaouza wako makini sana, watakuuliza hata zana. Ila kitaa hawana ujasiri wa kuuliza wao ni kuchanua tu, na wengi wao hujitia kondomu huwa inaniwasha so usivae lakn aliepo kibiashara no matter what lazima uvae tena akuvalishe ili ajihakikishie kwakua hawaamini watu na anajua yuko ktk risk
 
Good time ya kupunguziana ?? Aaah wapi hunipati
Njoo tupeane utamu bhana,bora mimi naekwambia ukweli kuliko wengine wanaokudanganya,wewe njoo tupige shoo ya kibabe halafu tule na good time.
 
Njoo tupeane utamu bhana,bora mimi naekwambia ukweli kuliko wengine wanaokudanganya,wewe njoo tupige shoo ya kibabe halafu tule na good time.
Kwa hiyo kwa kuwa ni ukweli umesema ndiyo tiketi ya kukupa uchi wangu? Dhubutuuuuu.
Haupati kwanza hayo ni matumizi mabaya ya dhambi.
 
Manina wacha kuendekeza ngono, mbona watu tuna almost 2 year.bila hii kitu tuko normal? Kama unampenda endelea kumsubiri.

Noteeeeeeeeeeeeeeeeeee bila unafiki:

Ila nikushauri kitu, usijiumize kiasi hicho trust me uko aliko anakunjwa kila Siku wewe unajinyima,( naongea kutoka moyoni) najua maumivu ya kupenda MTU ukampa thamani kuliko wengine. Kuna siku utasikia ana mimba ya mzungu.

Dunia haiko fair,(naongea kutoka moyoni) kama una hamu wewe nunua kondomu, maliza hamu zako,tena Leo j2 usisubiri kesho, narudia tena ukisoma hapa kimbia pharmacy uchukue zana.

Unless usifanye kwa reasons nyingine ila sio za kumsubiri huyo princess wenu/ wako.
Hewalaa
 
Helloh jf!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana
nina Girlfriend wangu ninampenda
Sana,ila changamoto niliyinayo kwa
Sasa,ni mwaka wa pili umepita tangu alipoenda kusoma nje ya nchi,
Kipindi anaondoka tulipeana ahadi kuwa atakapomaliza masoma tuje
Tufanye mpango wa kufunga ndoa.

Kusema kweli nimevumilia miaka yote miwili tangu alipoondoka sijafanya mapenzi na mwanamke yoyote,nimefanya hivyo kwa sababu
Ya upendo wangu kwake,nashukuru
Tunawasiliana vizuri tu bila shida

Ilala sasa uvumilivu unaelekea kunishinda,Mihemko ya kusex imenikaba kweli kweli,najaribu kufanya mazoezi wapi,naji keep busy sana lakini wapi,Binafsi sitaki
Kabisa kumsaliti lakini hali naona inaelekea kunishinda,maana bado miaka miwili ili arudi Tz.


Sometimes napata vishawishi vya kwenda kununua mademu wanaojiuza nina uwezo wa kutoa hata laki per night lakini nahofia
Magonjwa,nina uwezo pia wa kutongoza demu mwingine lakini
Najua nitamdanganya tu halafu
Nitakuja. Kumuacha siku akirudi
My princess,sasa na mimi sipendi
Hali hiyo itokee najua nitamuachia
Maumivu ya moyo binti wa watu.

Sasa nimeamua kutafuta humu msichana ambaye yupo single
Ambae atakuwa tayari kwa mahusiano ya mda mfupi na mimi
Mpaka atakaporudi Girlfriend wangu
na awe tayari kwenda kupima afya.

Ani PM

Nawasilisha.
Acha kabisa ujinga, mademu wanaojiuza wako very safe Kama Ukipata wale ambao ni standard. Trust me wako safe kuliko hata mademu wenu hao
 
Acha kabisa ujinga, mademu wanaojiuza wako very safe Kama Ukipata wale ambao ni standard. Trust me wako safe kuliko hata mademu wenu hao
USIJIFARIJIII NDUGUU...Kula Malaya ni hatariii sanaa
 
Kwa hiyo kwa kuwa ni ukweli umesema ndiyo tiketi ya kukupa uchi wangu? Dhubutuuuuu.
Haupati kwanza hayo ni matumizi mabaya ya dhambi.
Tatizo nyinyi wanawake mnapenda kudanganywa mkiambiawa ukweli hamtaki,na kama ni dhambi cute b umefanya ngapi bhana?,ukifanya na wengine sawa ila ukifanya na mimi
Na dhambi?,acha hizo wwe njoo tupeane utamu tusogeze siku.
 
Back
Top Bottom