Uvinza Siendi Tena

Uvinza Siendi Tena

Napokea ushauri wako mkuu kwa mikono miwili. Next time nitjaribu kuanzia safari "makundu-chi" baadaye ndiyo niende "uvinza". Ingawa sina imani kama kwa kufanya hivyo kutabadili hali ya hewa niliyokutana nayo uvinza.
Hee! Kumbe hujakoma? :faint::shut-mouth:
 
Kweli ushamba hauna mwenyeji! Yaani usafiri wa kukodi unaendea uvinza? Unadhani mwakyembe ni duwanzi kupigania treni ifufuliwe?

kijana ana ujasiri wa hali ya juu... ni zaidi kujivika bomu
 
jf raha sana.
pole mkuu ila usirudie kutumia usafiri wa kukodi.
 
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.

unamaanisha uvinza huu huu nao zamaga kwa shemeji yako? maana Zenji hakuna eneo linalo itwa uvinza labda mchambawima
 
unamaanisha uvinza huu huu nao zamaga kwa shemeji yako? maana Zenji hakuna eneo linalo itwa uvinza labda mchambawima

habari za chuda mkuu! hii habari imenipa kichefuchefu acha tu hapa nna ndimu............:shut-mouth:😱hwell:
 
habari za chuda mkuu! hii habari imenipa kichefuchefu acha tu hapa nna ndimu............:shut-mouth:😱hwell:

huku Chuda ni swadakta mzima wewe?
Kuna watu wanapenda sana kujilipua sasa jamaa amekamata changu mtaani hata kuoga halijui na hajui changu hilo limesha pigwa na wanaume wangapi mpaka muda huo jamaa anakamata mzigo nae eti anajitutumua kuzama uvinza cha kushangaza anapitiliza mpaka kunduchi hili si balaa hili kujitafutia kubabuka mdomo bure
 
kule kuna ukoko usiombe uwe na masharubu basi maukoko ukoko yanagandia kwenye ndevu

lakin kuna mademu wengine wasafi sana.. hamna harufu hata... mpaka wanashawishi
 
lakin kuna mademu wengine wasafi sana.. hamna harufu hata... mpaka wanashawishi

sawa lakini umeokota demu mtaani siku hiyo hiyo unataka kuzama uvinza kweli? na hapo hujui kama ametoka kupigwa na jamaa ake basi ukilamba unalamba mabao ya huyo jamaa ake
 
sawa lakini umeokota demu mtaani siku hiyo hiyo unataka kuzama uvinza kweli? na hapo hujui kama ametoka kupigwa na jamaa ake basi ukilamba unalamba mabao ya huyo jamaa ake

aayyaaayyaa... hapo kweli noma..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom