Ina muhuli wa TBS...!!!!
mi nipo mzima wa afya umepotea!!!!!!!
SnowBall unajua wengi wanafikiri tatizo ni usafiri wa kukodi kumbe sivyo!
Kumbe hata kwa usafiri wako binafsi unaweza kushindwa kufika uvinza! Swala la uvinza linahitaji usafiri safi na unaojaliwa vyema!
Absolutely, yeeah its me
You can't believe eh??
hapo kwako hata siulizi.... najua 100%TBS imani yangu ndio inaniponya
nipo tele pilika pilika tu za hapa na pale..... si unajua mwanzo wa mwaka....
Hope to meet you kwa white party!!!!!!!
Ahsante kwa ushauri mkuu, hata hivyo naamini "kufanya kosa siyo kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa kubwa". Naapa uvinza sitaenda tena regardless usafiri ni wa kukodi au binafsi.
He he he i can't!!!!
ila usiniulize why........
sure.... ila sijajua hii white tunaanzia kuvaa juu mpaka chini au ?? nikikosa napiga kanzu....
lolz..there's no way i should not ask why??
Just tell me..au kama vipi fanya hivi...dont wash your dirty linen in public
Twende kuleeee....
Sio tu juu mpaka chini bali ni nje mpaka ndani!!!!!!
mh,napita hapa
mmhh hiyo kiboko kama naenda hanny moon, kwanza nimeshtuka sivai white nisijerudi na alama za lipstik mama jiwe akanipiga bun
Utamwambia kulikuwa na msongamano ulikuwa kwenye gari mtu akakugusa au????
nikikaribia home najigalagaza chini najifanya nilianguka tatizo litakuwa kwenye uturi... lakini majibu fasaha hayatakosekana nikiwa nimepiga vyombo.
Napokea ushauri wako mkuu kwa mikono miwili. Next time nitjaribu kuanzia safari "makundu-chi" baadaye ndiyo niende "uvinza". Ingawa sina imani kama kwa kufanya hivyo kutabadili hali ya hewa niliyokutana nayo uvinza.Power G ..tatizo lako ulianzia uvinza...siku nyingine anzia Makunduchi..ila tu gari binafsi ndo rahisi kulifanyia monitoring