CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
huijui chumvi eeh?
Kweli imekataa kabisa, NaCl naijua, lakini mnavyoiongelea mmenitupa
huijui chumvi eeh?
Ahsante mkuu, ushauri wako ni wa kumjenga mtu na wakati huo huo kumliwaza. Achana na wale wasio na huruma wanaonishambulia wakati mimi nilikuwa kwenye utafiti wa viwanda vya chumvi.Mkuu, hukupaswa kwenda Uvinza kwa usafiri wa kukodi. Umeona sasa? Huko nenda na usafiri wako ulio safi utafika na utasikia raha. Pole kwa yaliyokusibu mkuu.
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.
Mkuu, mteja ni mfalme. Usafiri wa kukodi utakupeleka popote utakapopenda, bora malipo tu. Actually mimi hata uvinza kwenyewe nilikuwa sijawahi kwenda, hii ilikuwa safari ya kiutafiti zaidi. Ila niliyoyaona huko yamenikatisha tamaa ya kurudi tena huko siku nyingineUlijuaje kama 'usafiri' uliokuwa umekodi ungekubali kukufikisha huko "makundu-chi"? Laana zingine tunazitafuta wenyewe aisee.
Kweli ushamba hauna mwenyeji! Yaani usafiri wa kukodi unaendea uvinza? Unadhani mwakyembe ni duwanzi kupigania treni ifufuliwe?
Ahsante mkuu, ushauri wako ni wa kumjenga mtu na wakati huo huo kumliwaza. Achana na wale wasio na huruma wanaonishambulia wakati mimi nilikuwa kwenye utafiti wa viwanda vya chumvi.
Mkuu asigwa inabidi pia tukumbuke kwamba "msema ukweli ni mpenzi wa God". Naona hapa Power G hajakosea kusema bali alichokosea ni kutumia usafiri wa kukodi kwenda uvinza.Wenzio huwa tunaenda kutest tu kama chumvi yahuko ina ladha...na tukishaonja tunayoyakuta huko huwa tunakaa kimya....
Pussy cat flue!!!
pole sana......!!!!!!!
hahaha kumbe upo. mzima wewe?? hiyo salt yako inaonekana kiwangoooo nasubiri kwenye white patty
Duh...watu mna mambo!
Saa zingine hata tu kwa usafiri wako mwenyewe mtu uvinza hatuendi..sembuse usafiri wa kukodi ndo utake kwenda uvinza??...lolz
Ulichemka mbaya mwana..una bahati umeibuka na mafua..sometime unaweza ibuka na kansa ya koo....
Ahsante kwa ushauri mkuu, hata hivyo naamini "kufanya kosa siyo kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa kubwa". Naapa uvinza sitaenda tena regardless usafiri ni wa kukodi au binafsi.Duh...watu mna mambo!
Saa zingine hata tu kwa usafiri wako mwenyewe mtu uvinza hatuendi..sembuse usafiri wa kukodi ndo utake kwenda uvinza??...lolz
Ulichemka mbaya mwana..una bahati umeibuka na mafua..sometime unaweza ibuka na kansa ya koo....
Mkuu asigwa inabidi pia tukumbuke kwamba "msema ukweli ni mpenzi wa God". Naona hapa Power G hajakosea kusema bali alichokosea ni kutumia usafiri wa kukodi kwenda uvinza.
Duh...watu mna mambo!
Saa zingine hata tu kwa usafiri wako mwenyewe mtu uvinza hatuendi..sembuse usafiri wa kukodi ndo utake kwenda uvinza??...lolz
Ulichemka mbaya mwana..una bahati umeibuka na mafua..sometime unaweza ibuka na kansa ya koo....