Uvinza Siendi Tena

Uvinza Siendi Tena

hahaha kumbe upo. mzima wewe?? hiyo salt yako inaonekana kiwangoooo nasubiri kwenye white patty
Dah wadau kila mara nasikia kuwa kuna white party maana hata Lara1 nae naona kapania kweli guys hebu fungukeni basi tuje kujumuika Kebby's.
Lara njoo uchangie huku ndugu yanguuuu!!
 
napenda avatar zako the babies are soo cute unantamanisha nibebe mimba ingine ujue..................hehehehheeee na mie nshamaliza.

hahahaa thax mamii. Hata mimi napenda sana babies but mmmh. Time will tell ngoja nisahau machungu kwanza afu bado nina woga saaanaaaaa na mchakato mzima lol.
 
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.

siku nyingine uwe unatembea na litmus paper unatest kwanza kama ni chumvi au acid, then ndo unazama
 
Kiruuu!!!!!mpaka nimekuonea huruma,,punguza pupa kula hayo makitu,,labda ufanye kwa mkeo ama mtarajiwa wako kama unapenda lakini hayo maswala ya dk 0 kukutana na kuingia uvinza wacha wacha!kabisa
 
Ulikuwa unatafuta nini huko? Hapafai abadani.Kuna jamaa yangu m1 aliwahi kwenda huko lkn baada ya siku 2 akaota upele kuzunguka mdomo katika mtindo ule wa kunyoa ndevu style ya "O"
 
hahahahaha...chineeeeeeeeeeeekeeeee...wonders shall never end ooooooooooooo......
 
Ushamba ziku zote Mzigo, ukisha jua Unautua!!! sasa kwa sababu umeshajua kuwa gari la kukodi halitakiwi mbwembwe nafikiri siku ukikodi lingine hutofanya mbwembwe hizo tena. @ Power G.
 
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.
Jamaa mmoja dereva taxi alikodiwa na mama wa kizungu kutoka Airport. njiani mama alimmind jamaa! Walivyofika hotelini jamaa akaona ili ampagaishe yule mama aende uvinza, tena kabla mama hajaenda kuoga. Basi safari ya uvinza ikaanza, lkn jamaa alichemsha maana yule mama alitoka safari ya mbali na njia ya uvinza ilitibuka sana. akatapita, yule mama akamuuliza unaumwa? jamaa akasema hapana! mama akamwambia nenda usijenifia bure! jamaa akaondoka kwa unyoonge. Maana aliahidiwa mambo kibao.
 
He! kumbe tuko wengi, nilidhani ni mimi tu nilyepata misukosuko ya uvinza.
 
Ushamba ziku zote Mzigo, ukisha jua Unautua!!! sasa kwa sababu umeshajua kuwa gari la kukodi halitakiwi mbwembwe nafikiri siku ukikodi lingine hutofanya mbwembwe hizo tena. @ Power G.
Kweli mkuu, ila sometimes utafiti muhimu.
 
Ulikuwa unatafuta nini huko? Hapafai abadani.Kuna jamaa yangu m1 aliwahi kwenda huko lkn baada ya siku 2 akaota upele kuzunguka mdomo katika mtindo ule wa kunyoa ndevu style ya "O"
Lo! naona mwenzangu yalimkuta makubwa.
 
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.

Nimegundua kwa nini UKIMYA unaendelea kuenea kwa kasi na kutj vijana
 
Ulibugi Men !!! Chezea Retail Shops !!!! Kwa vyo vyote vile usafiri wa kukodi ambao unatumia na kila mtu mwenye uwezo, nguvu na afya tofauti tofauti usingeweza kukufikisha Uvinza kwa sababu haujauzoe. Hata kama ingekuwa safarijet, ATC, Precisian au Coastal air lazima kwanza ungetua Ujiji, halafu urudi uvinza kwa usafiri mwingine. Katika safari ndefu kama hizo, unapaswa kutumia usafiri wako binafsi ambao umezoea kero zake. Aidha, usafiri wa kwenda Uvinza usingekufikisha Makunduchi siku hiyo hiyo, ulipaswa kukaa na kujipanga kutumia Azam marine, taxi na Vies par.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom