UVCCM walaani Maandamano ya CHADEMA

kachumbari

Senior Member
Nov 1, 2010
125
8
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;

Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!

Naam:

1.JPG

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Benno Malisa, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitangaza umoja huo kulaaani maadmano yaliyofanywa na CHADEMA mjini Arusha jana na kusababisha taharuki kubwa baada ya polisi kuyatawanya.. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM, Ridhiwan Kikwete na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM, Zainabu Kawawa.

Maoni yenu tafadhali
 
Tatizo la kuandika bila kufikiria. yeye anaona sawa ccm kujizolea madaraka kwa njia isiyo halali. Au anaona sawa bei za bidhaa kupanda, sawa umeme kupanda! bora angekaa kimyaa kuliko kuandika hayo
 
nadhan aliandika muda mbaya alipotoka kwenye pombe au alikurupuka toka usingizini, wadau mfundisheni ajiandae kwani madaraka aliyonayo yahitaji mtu makini. wengine wanaaamini ni malezi ya pande moja aliyoyapata kijana hana adbu hata kidogo.
 
Kwani aliyemwaga damu ya mwenzake ni nani? tatizo ni Marijuana ndio maana anasherehekea kutimia kwa ahadi waliyopanga,ya kumwaga damu ya watanzania wenzao,endelea kujichekesha huko facebook usifikiri hii dunia utaishi milele,Mungu ANAWASUBIRI KWA HAMU AWARUSHE MOTONI TU
 
ameongea maneno yenye busara sana tofauti na wanasiasa wengine wanaoropoka tuu! safi sana NAPE
 
kumbe nape ni kiongozi makini......uchambuzi wa rangi katika bendera sikuwahi kuufikiri.....BORA ZITTO kajitoa toka genge la wahuni
 
Haya ni maneno yake Nape Moses Mnauye kwenye ukurasa wake wa Facebook (Uso wa kitabu):

"YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!"

My take, niliamini kwamba ni mtu mwenye mtizamo chanya, kumbe yeye ni mmoja wa walewale, safari bado ni ndefu!!!!!!
 
Kuna tofauti gani kati ya NAPE na MAKAMBA?
 
mjinga ndiyo maana ametoswa na ccm

Niambie bendera ya Taifa kubwa dunia isiyo na rangi Nyekundu

USA, Russia, Japan, China, Uk etc Haka katoto kamalaya tena ka-kigay
 
Hukutegemea nn sasa kwa Nape? Kumbuka yeye ni mwanasiasa tena ccm. Hakuna cheo ccm mpaka ujipendekeze au kutoa kauli kama hizo. Sasa kuna baadhi ya watz wataamini kabisa maneno yake. Elimu ndo msingi.
 
Haya ni maneno yake Nape Moses Mnauye kwenye ukurasa wake wa Facebook (Uso wa kitabu):

"YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!"

My take, niliamini kwamba ni mtu mwenye mtizamo chanya, kumbe yeye ni mmoja wa walewale, safari bado ni ndefu!!!!!!

You got it wrong my friend.
He's just an opportunistic kid.... just like the rest of them all in that CCM mob!
 
Nakumbuka fasihi yangu form 5 miaka ile - katika kitabu cha 'A Man of the People' cha Achebe, Chief the Honorable Nanga alipewa uwaziri wa Utamaduni kwa kauli mbili kuh wapinga ufisadi wa nchi yake bada ya magazeti kumquote "they deserve to be hanged" na "they have bitten the finger with which their mother fed them". Ni unafiki huohuo Nape anauonyesha sasa ili akumbukwe ngazi inayofuata - labda ubunge wa viti maalum.
 
He is among those who are naive of Tanzania history, Wana ccm walio wengi wanadhani historia ya Tanzania inaanza alipoanzia nyerere, wanasahau kwamba kabla ya hapo mababu na machifu mbalimbali eg Mkwawa, walishapigana wakamwaga damu ili kujikomboa, ndo maana CHADEMA waliongeza rangi nyekundu ili kurekebisha upotofu tuliolishwa na CCM.
 
Huyo nape ni nani? Yaani naye unaweza ukam-quote! Is he of any better IQ than Makamba or Ridhwan?
 
He is among those who are naive of Tanzania history, Wana ccm walio wengi wanadhani historia ya Tanzania inaanza alipoanzia nyerere, wanasahau kwamba kabla ya hapo mababu na machifu mbalimbali eg Mkwawa, walishapigana wakamwaga damu ili kujikomboa, ndo maana CHADEMA waliongeza rangi nyekundu ili kurekebisha upotofu tuliolishwa na CCM.

You have a point there buddy!
 
Nilishangaa alipokubali kuwa mkuu wa wilaya. Kijana mwelevu wa aina ya Nape kukalia cheo cha zawadi cha ukuu wa wilaya ni kukosa la kufanya. Sasa hako kacheo kamempa kiburi kiasi cha kuikebehi Cdm.
 
Back
Top Bottom