UVCCM walaani Maandamano ya CHADEMA

Haya ni maneno yake Nape Moses Mnauye kwenye ukurasa wake wa Facebook (Uso wa kitabu):

"YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!"

My take, niliamini kwamba ni mtu mwenye mtizamo chanya, kumbe yeye ni mmoja wa walewale, safari bado ni ndefu!!!!!!
Haa...what else could you expect from him,or any body else from that "clan" for that matter? Political Mutation ilishawaharibu hawa watoto, mawazo ya baba na babu zao yalivyopinda na kuamini kwa dhati kabisa kuwa "CHAMA" kina umuhimu wa kwanza hata ikibidi kwa gharama ya TAIFA; basi na vitoto vyao vikazaliwa vikisikia hilo,vikiona hilo,vikiwaza hilo....na yes,ndo maana vinaongea hilo!
Hapa ndipo mahali ambapo mwalimu alikufa kabla hajapakamilisha; Alikua mbioni kufundisha ukweli huu though wakati mauti ilipo mchukua. Aliposema "..CCM sio mama yangu.." alimaanisha kuwafundisha ukweli huu. Angeishi mpaka leo naamini angemalizia somo lake kwa kuachana na CCM na kuambatana na Tanzania. Hawa sasa watafunzwa tu na ulimwengu,na wakati umekaribia sana!
FREEDOM IS COMING TOMORROW!!
 
Nyapu Nyau-ye nae kawa mtabiri? kumbe sheikh yahaya ana watu wa kuchukua mikoba yaka tayari.
 
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;

Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!

Maoni yenu tafadhali

Maana ya rangi nyekundu ni ukakamavu na ujasiri hata kupoteza maisha ili kuutetea uhuru haki na kuondoa dhuruma katika jamii yetu ya Tanzania. Nape, sijui Nyape, anaweza kujifunza na lililotokea Arusha, na awaambie CCM wenzie na mafisadi kuwa muziki kamili umeanza, polisi na ujinga wao hawasaidii kitu mbele ya nguvu ya umma wanaounyonya!
 
Huyo Nape ni nani?ni Mdudu gani na anakaa wapi?takataka ideas kama hizi zisiletwe hapa tafadhali,tuna heshima zetu huyo Nape ni kimdudu gani mbona hapa UK hatumjui kabisa,kichaa huyo msilete maoni ya vichaa hapa ,we all aware of whot happend in Arusha.asije mtu kupotosha kwa maslahi rahisi ya njaa yake pleas.
 
Hao hakina NAPE kiboko yao ni katiba mpya ambapo vyeo kama mkuu wa wilaya au mkoa vitakuwa havitolewi na rais ndo watakoma. Vyeo vya kutulizana kama mtoto anapewa pelemende. Nape, katiba mpya inakuja bora urudi shule mapema, hutakuwa na kazi in two years
 
Jamani kwa Wanaojua historia ya China.... Rangi nyekundu maana yake ni GoodLuck (Bahati njema). Tafsiri za damu, vita, uuaji na rangi nyekundu vimetoka wapi? URUSI pia wanaamini kuwa rangi nyekundu ni bahati, ukakamavu na nguvu.... Hizi Tafsiri za Nape ni za kiganga wa Sheikh Yahaya na upotoshaji.
 
Naangalia channel 10,namwona mtoto wa mkwere na kijakazi wake,wanatoa tamko la mauaji ya Arusha,naomba wasiwe biased,watoe pia tamko juu ya rada,kupanda bei ya umeme pamoja na malipo haramu ya dowans,mana waziri wao 6,ameshasema ni kwa mafisadi 3,..acheni unafiki,watz wa leo waelewa
 
mnajua nimemuona nape hana akili alipochukua jukumu la kumweka mwana kijiji ndani eti kwa sababu hana shamba la kulima sasa siwezi kumshanga kwa maneno yake machafu ambayo ayana tija kwenye nchi yetu na mstakabali mzima kwa taifa kwa kifupi upeo wake ndipo ulipofikia kwenye utafakali wa mambo nakuchanganua ni zero
 
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;

Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!

Maoni yenu tafadhali

Nape na CCM wenzake wengi ni wapuuzi. Wao ndio chanzo cha matatizo yote yanayotokea na si CHADEMA! Au anaona ukuu wa wilaya hamtoshi sasa anapalilia apate ukuu wa mkoa? Sham on him!!
 
Sidhani kama SISIEM inaweza ikatutoa katika lindi la umaskini...... KWA MTAZAMO WANGU NI UZALENDO NDIO UTAKAOTUTOA KATIKA UMASKINI ULIOKITHIRI TULIONAO WATANZANIA WENGI......
 
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;

Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!

Maoni yenu tafadhali


Waliomwaga si wao ila wale kijani guys au anavuta bangi kweli?
 
Riz1 anaongea yeye kama nani? Wewe baba yako kututawala basi na wewe unataka kututawala. Kaa nyumbani kwako ulee familia yako achana na watanzania nyang..........weh!! Napatwa na kizunguzungu nikisikia habari ya huyu mtu. Wewe tukutane The Hague na mafisadi wenzako bila kusahau baba yako. Ulimbukeni utakuponza fi.........
 
Ahahahah kweli hii Nchi hii tunahitaji katiba mpya kwa nguvu sana.Yani mtoto wa Rais anakuwa na madaraka yepi ya kutoa tamko kwa Taifa? Je watanzania wote ni members wa UV-CCM? Nchi hii mbona haieleweki?
 
  1. walioua ni cdm au ccem- nape is another loafer living in this country.
 
Riz1 anaongea yeye kama nani? Wewe baba yako kututawala basi na wewe unataka kututawala. Kaa nyumbani kwako ulee familia yako achana na watanzania nyang..........weh!! Napatwa na kizunguzungu nikisikia habari ya huyu mtu. Wewe tukutane The Hague na mafisadi wenzako bila kusahau baba yako. Ulimbukeni utakuponza fi.........

Thank you!

 
nilikuwa nafikiri Nape walau ana nafuu ya kufikiri kidogo katika vijana wa CCM, kumbe nilifikiri kinyume kabisa! Nakusikitikia sana Nape unakoelekea
 
Katoa tamko kama UVCCM au kama nani??
maana huko UVCCM yeye si msemaji.....kalaani polisi?
 
Wakuu amedadavuliwa mno huko fb, so let's not bring any further attention to it, yaani ukisoma post zake kujitetea mpaka unamwonea huruma DC wetu wa huko newala sijui masasi
Ameshalearn! Akiingia huku tena hatalala vizuri, doh! Amedadavuliwa haswa , wapuuzi wawili tu (hanger's on) ndio walikuwa wanamtetea
 
Back
Top Bottom