Mjumbe wa UVCCM mkoa wa Kilimanjaro Paul Makonda ameomba serikali imnyang'anye Rostam uraia na kumfukuza nchini
Source radio one news
Kama ni raia halali wa Tz haiwezekani,na afukuzwe kwenda wapi?Huyu jamaa alitakiwa kuwa amehifadhiwa sehemu toka kitambo,wameendelea kumchekea mpk kawafikisha hapa.