GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,709
- 109,144
GENTAMYCINE naweka hapa Nukuu ya Kauli ya Makamu Mwenyekiti CCM Bara Abdulrahman Kinana baada ya Kutangazwa Mshindi wa Cheo hicho Mkutanoni Dodoma mbele ya wana CCM wote akiwemo Mwenyekiti Taifa CCM na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.......
"Niwaombe wana CCM wote Kukubali Changamoto na Kukosolewa na ama wana CCM Wenzetu au hata wasio wana CCM kwani kwa kufanya hivyo wanatusaidia Kutushtua pale tulipokosea na Kutujenga zaidi hivyo tuache kuwaona Wanaotukosoa ni Maadui zetu badala yake tuheshimu Mawazo yao"
Haya GENTAMYCINE nawaomba sasa Mazuzu / Mizuzu ya UVCCM waje / ije hapa na waniambie kutokana na Kauli hii ya Boss wao Kinana ni wapi Genius Dk. Bashiru Ali ( Mbunge na mwana CCM lia lia ) amekosea kwa Kauli yake ambayo Sisi tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu tunaiona ni sahihi na tena alipaswa apewe hata Tuzo kwa Ujasiri wake huo na siyo Kulaumiwa nanyi Wanafiki na Chawa ( sycophants ) mliojazana hapo na Uzuzu wenu.