Kwenye hii kauli ya Kikwete dhidi ya Bashiru Ally ,alimaanisha nini?

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,843
3,128
Alipopewa nafasi ya kuzungumza kutoa nasaha zake kuelekea kufungwa kwa mkutano mkuu wa CCM, aliongea mengi ya kuwaasa wanachama kujenga mshikamano, kadhalika alimtia moyo mwenyekiti mpya dhidi ya dhoruba ndani ya chama.

Kauli ambayo napenda kwa aliemuelewa atusaidie ni kwasababu huyo ni mzee wa kiswahili, kama Makamba senior, ambaye ndani ya hizi siku mbili kavulunda sana.

Jakaya Kikwete alisema hivii, CCM ijikite kwenye mafunzo ya wanachama wake, kwa sababu chaguzi zinaleta viongozi wapya kadhalika wazamani kupigwa msasa wa kukijua chama.

Akasema wakukisaidia chama kwenye mafunzo yupo Mzee Yusuf Makamba, Mzee Mkama, na alipomfikia Bashiru Ali akasema sijui kama na yeye atakuwa tayari, Bashiru alisimama kwa unyeyekevu kuashiria kukubali.

KWANINI KWA BASHIRU ALI KASITA, NA KUMUULIZA KAMA YUKO TAYARI?.

Akili yangu inaniambia ndani ya CCM kuna fukuto kali sana, ishara ni kura walizopata watoto pendwa, zinatia shaka
 
Akasema wakukisaidia chama kwenye mafunzo yupo Mzee Yousuf Makamba,Mzee Mkama,alipomfikia Bashiru Ali akasema sijui kama na yeye atakuwa tayari,Bashiru alisimama kwa unyeyekevu kuashiria kukubali.
Watu kama Dr. Bashiru ndio wataisaidia sana CCM ku groom future critical leaders kwasababu huyu ni critical thinker!, wale wa kupelekwa pelekwa, machawa na bendera fuata upepo, kama Makamba Snr, hawana msaada mkubwa wa maana kwa a modern CCM, hii CCM .com!.
P
 
Makamba snr na Mukama hawana political ambition yoyote ya baadae ,lakini Bashiru anaweza always na ambition zake za mbeleni,so ni ngumu kumchagulia nini afanye kwa sasa... hivyo Kikwete alikua sahihi kumwuliza kwa style ya kumuomba.
Haingii kwenye kundi la wastaafu?
 
Alipopewa nafasi ya kuzungumza kutoa nasaha zake kuelekea kufungwa kwa mkutano mkuu wa ccm, aliongea mengi ya kuwaasa wanachama kujenga mshikamano ,kadhalika alimtia moyo mwenyekiti mpya dhidi ya dhoruba ndani ya chama.
Kauli ambayo napenda kwa aliemuelewa atusaidie, maana huyo ni mzee wa kiswahili kama Makamba senior,ambaye ndani ya hizi siku mbili kavurunda sana.

Jakaya Kikwete alisema hivii,ccm ijikite kwenye mafunzo ya wanachama wake,kwa sababu chaguzi zinaleta viongozi wapya kadhalika wazamani kupigwa msasa wa kukijua chama.
Akasema wakukisaidia chama kwenye mafunzo yupo Mzee Yousuf Makamba,Mzee Mkama,alipomfikia Bashiru Ali akasema sijui kama na yeye atakuwa tayari,Bashiru alisimama kwa unyeyekevu kuashiria kukubali.


KWANINI KWA BASHIRU ALI KASITA, NA KUMUULIZA KAMA YUKO TAYARI?.

Akili yangu inaniambia ndani ya ccm kuna fukuto kali sana,ishara ni kura walizopata watoto pendwa,zinatia shaka
Sisi wazarendo wa kweli tuna jukumu moja tu kuchochea kuni ili wauane kabisa hawa mambuzi
JamiiForums-1699600563.jpg
 
Watu kama Dr. Bashiru ndio wataisaidia sana CCM ku groom future critical leaders kwasabsbu huyu ni critical thinker!, wale wa kupelekwa pelekwa, machawa na bendera fuata upepo, hawana msaada mkubwa wa maana kwa modern CCM, hii CCM .com!.
P

Uko sahihi na Dr.Bashiru watu wasioifahamu akili yake wanambeza lakini tuweke akiba ya maneno.
 
I agree, kudeal na Dr Bashiru sio kitu rahisi! Ukiona mzigo umeandikwa "handle with care" be careful
Nikwambie MTAZAMO uchaguzi huu wamejeruhiwa sana,sema tu ni siri ya chama,ila wameiona nguvu ya mwenda zake
 
Na
Watu kama Dr. Bashiru ndio wataisaidia sana CCM ku groom future critical leaders kwasabsbu huyu ni critical thinker!, wale wa kupelekwa pelekwa, machawa na bendera fuata upepo, hawana msaada mkubwa wa maana kwa modern CCM, hii CCM .com!.
P
Nani critical thinker. Kabla ni critical sinker. Hivi kwa nini mnawatetemekea Sana wahadhiri wakati wengi wao walikalili tu madesa. Ngoja nikwambie sasa wenye akiri hawapendi kushuka chaki owe ualimu au uhadhri. Mi Nina div one ya point tatu lakini sikuona umuhimu wa kwenda chuo kikuu
 
Back
Top Bottom