UVCCM mngemlaumu zaidi adui yetu huyu badala ya Dkt. Bashiru Ali, ningewaona mna akili timamu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,119
UVCCM hebu niambieni GENTAMYCINE hivi kweli Dk. Bashiru Ali ni Adui yenu Kumzidi Adui Mkuu huyu wa Watanzania wote aliyeko CCM?

1. Fisadi na Mficha Hela za Misaada
2. Mlevi wa Wine na Muhuni
3. Mdini kupita Maelezo
4. Mbinafsi wa kupenda
5. Mlipiza Kisasi kwa Aliyemtangulia
6. Mpumbavu aliyeshindikana
7. Mnafiki na mpenda Umbea

UVCCM nilishawadharau Kitambo tu na kwa mlichokifanya Juzi, Jana na Leo dhidi ya Dk. Bashiru Ali sasa ndiyo Nawadharau na Nitawadharau mpaka Kiama kikija.

Hamna Akili Wanafiki na Chawa wakubwa nyie. Chaguzi zote za CCM za hivi Karibuni zimegubikwa na Rushwa za Wazi Wazi mbona wenye Akili Kubwa kuwazidi hatujawaona mkilikemea kwa Nguvu hizi hizi mnazomuandama nazo Dk. Bashiru Ali.
 
Chaguzi zote za CCM zinanuka rushwa, mfano kuna uchaguzi wa Kinondoni umejaa rushwa hasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom