Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Angejiuzulu ingekuwa vizuri, hii nchi mbona viongozi hawawezi kabisa kuwajibika? Yaani angejiuzulu tu,saizi ataondolewa
wanasiasa wengi Tanzania ni masikini. mtu hana biashara wala wazo la biashara. hana pesa ya maana kwenye akaunti yake. madeni kibao.

namna pekee inayomfanya kuzimudu shida za dunia ni mshahara na upigaji.

ukisema ajiuzulu anaona unampa ushauri mbaya mno.
 
Huu ndio ungwana na utamaduni wa mtanzania. Tunarudi kwenye mstari baada ya kupotea "kizani" miaka mitano.
 
Back
Top Bottom