Utumwa: Kumbe Kenya walimpokea namna hii UK's Prince William.!!

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Kumbe nchini Kenya hivi ndivyo walivyompokea UK's Prince William na mkewe..! Tunarudi Afrika kwenye Utumwa kwa kiwango kikubwa mno.
IMG_20181010_230232.jpeg
IMG_20181010_230237.jpeg
IMG_20181010_234429_910.jpeg
 
Zamani kidogo kulikuwa na mabaharia mixed crew wa mataifa mbalimbali na mmoja wao alikuwa mchina anaitwa Young na mimi nikiwa nahodha wao. Huyu mchina aliwahi kufanya kazi Mombasa kabla ya hapo. Basi siku moja akamwambia bosun wake amfulie shuka zake wakati yeye ni AB, nikaisikia hiyo nikamuita Bosun amabaye alikuwa mmbongo nikamwambia akimfulia mchina basi namimi simtaki melini akatafute meli nyingine. Basi Bosun akamwambia mchina captain kanikataza nisikufulie shuka basi mchina akaja kwa kwangu mbio huku akilalamika. Why captain in Kenyaaa china is up Afrika is down( kwa sauti ya kichina). Nami nikamjibu in Tanzania China is cowdung. Alikasirika mchina hadi kunipelekea fitna HQ lakini bahati nzuri na ofisi kuu wallishamchoka. Nilipoulizwa jibu langu lilikuwa moja tu niondoleeni huyu bwege simtaki melini. Basi alipewa ticket yake kurudi china huku haamini kilichotokea akanijia why why.... akitaja jina langu. Story zaidi baadae. Daaah leo nimetoa story hii inafahamika kwa watu wengi sana hadi polisi nahisi watu wengi watakuwa washanijua humu maana wengine walianza kuniita captain cowdung. Haidhuru lakini nadhani hakkuna atakayenipeleka kwa wasiojulikana
 
Ghazwart, nasema afadhali ya mkoloni. Kwani mkoloni alifanya nini kibaya zaidi ambacho "wafalme" wanaotutawala sasa hawakufanya? Brutality ya Jiwe anayowafanyia waafrika wenzake, wakoloni hawakuifikia! Take it from me!
Mkuu Retired kwa sasa shida iliyopo kwa viongozi wa Afrika ni uchu wa madaraka ni mkubwa zaidi kuliko uchu maendeleo

Ndo yanayopelekea kuyaona yoote yanayotokea na kuumiza kwa wananchi!
 
Zamani kidogo kulikuwa na mabaharia mixed crew wa mataifa mbalimbali na mmoja wao alikuwa mchina anaitwa Young na mimi nikiwa nahodha wao. Huyu mchina aliwahi kufanya kazi Mombasa kabla ya hapo. Basi siku moja akamwambia bosun wake amfulie shuka zake wakati yeye ni AB, nikaisikia hiyo nikamuita Bosun amabaye alikuwa mmbongo nikamwambia akimfulia mchina basi namimi simtaki melini akatafute meli nyingine. Basi Bosun akamwambia mchina captain kanikataza nisikufulie shuka basi mchina akaja kwa kwangu mbio huku akilalamika. Why captain in Kenyaaa china is up Afrika is down( kwa sauti ya kichina). Nami nikamjibu in Tanzania China is cowdung. Alikasirika mchina hadi kunipelekea fitna HQ lakini bahati nzuri na ofisi kuu wallishamchoka. Nilipoulizwa jibu langu lilikuwa moja tu niondoleeni huyu bwege simtaki melini. Basi alipewa ticket yake kurudi china huku haamini kilichotokea akanijia why why.... akitaja jina langu. Story zaidi baadae. Daaah leo nimetoa story hii inafahamika kwa watu wengi sana hadi polisi nahisi watu wengi watakuwa washanijua humu maana wengine walianza kuniita captain cowdung. Haidhuru lakini nadhani hakkuna atakayenipeleka kwa wasiojulikana
Una sifa weweee
 
Mkuu Retired kwa sasa sida iliyopo kwa viongozi wa Afrika ni uchu wa madaraka ni mkubwa zaidi kuliko uchu maendeleo

Ndo yanayopelekea kuyaona yoote yanayotokea na kuumiza kwa wananchi!
I am trying to recall wakati wa Ukoloni prominent wapigania uhuru wa Tanganyika enzi hizo walipotea wangapi? walipigwa risasi wangapi wakaponea chupu chupu kama Lisu? Waliopotezwa kama Azory, Ben Saanane ni wangapi? If not not mistaken NONE! Sasa nani mkoloni zaidi?
 
Asante mkuu, lakini kiaina tumerudi mental slavery aisee

Nakubaliana na wewe, kwani tumekuwa tegemezi ingawa tumejaliwa na MOLA kila kitu tunachohitaji kuwa na maendeleo!! Ningekuwa mshirikina ningesema TUMEROGWA lakini si hivyo, tatizo letu ni kuwa wavivu wa kufikiri na kufanya kazi pamoja na kutokuwa na uongozi wenye maono!!
 
Jana Jioni katika kipindi cha Ndinga mpya town cha EA Fm Ian Dialo alikanusha taarifa hiyo hao sio wakenya.

Ni jamii moja ambayo nchi yake ni ya 3 kwa udogo dunia, alidai hiyo picha ni mwaka 2013 kama sijasahau. Na jamii hiyo ina kasumba ya kupokea wageni wao kwa kuwabeba namna hiyo.
 
Pamoja na kuwa picha hiyo si yakweli lakini hapa Tanzania pia kuna utumwa mpya wa kujiuza kwa kumuunga juhudi mtu
 
Back
Top Bottom