Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

Tofauti kati ya bachalor degree of electrical engineering na Bsc of electrical engineering ni ipi wadau.maana sometimes uwa inanigomea na mimi
 
Natumaini wote ni wazima. Imenibidi nianzishe uzi huu nikiwa naamini baadhi ya wahusika wa Utumishi wataona na wachangiaji wengine watatoa maoni yao.

Utumishi wametangaza kazi nyingi sana, ambalo ni jambo jema kwa sisi wasaka ajira.

Tatizo linaanzia kwa baadhi ya wasaka ajira kushindwa kuomba kazi wakiwa na vigezo na wakiwa wamesomea course husika. Wakiomba ujumbe unaokuja ni FAILED.

Nitatoa mfano mmoja wapo, nimejaribu kuomba nafasi ya Afisa Habari (Information Officer) nikiwa nimesomea Public Relations & Marketing lakini inakataa. Sasa mtu aliesomea Public Relations alafu mnamzuia kuomba kazi ya Afisa Habari sasa ataomba kazi ipi?.

Kibaya zaidi ukiingia kwenye account yako unakuta wamekuwekea ajira ambazo unaweza kuomba kulingana na course uliyosomea, lakini ukijaribu kuomba inakataa.

Fanyieni marekebisho haya kwani watu wengi wamekuwa wanalalamikia kitu kama hiki kwenye kada nyingine pia.
Thread 'Dodoma: Vyumba vya kulala kwa tsh 13,000/=' Dodoma: Vyumba vya kulala kwa tsh 13,000/=
 
Back
Top Bottom