Kichwa cha habari kinahusika.
Misuto,umbeya na habari zisizo na mantiki...aarghhh!!!!
uso umemparama kama tambara la deki lililokauka nyambafu!AMEITWA KWANI!MUULIZE KAITWAA!?
MWONE SURA MBAYA KA UMENYIMWA URITHI!
kuna mtu kakuita huku!
wewe uliyekua ushamaliza nyembe ngapi?
mbele hujijui nyuma hukutambui.
hebu tupishe!
Kichwa cha habari kinahusika.
Misuto,umbeya na habari zisizo na mantiki...aarghhh!!!!
asiyejua maana haambiwi maaana
ATUWACHE TUPUMUWEEEEEEEE!!!!!!!
source: cacico / kasiko......
copy to: Asprin... Mtambuzi... Nicas Mtei... Madame B
Jamani nimekutana na thread yani sijaelewa kimetokea nini kwa cacico?
Jamani nimekutana na thread yani sijaelewa kimetokea nini kwa cacico?
ye mwenywe mleta mada ndiye haswaaaaa mnaaaaaaa, sijapata kuona! mtu haachi asili yake!Kwa hyo ulikuwa unatushauri nini?
we mtu mbona ni mmbeya sana!! ulinilamba wewe!! mfyuuuuuuuuuu, unatafuta umaarufu baharini???? papa na nguva nao wafanyeje???Amelambwa ban baada ya kuleta udini siasani!
Kaja na Id nyingine,nayo imelambwa ban!
nimekupa na like, kukuonyesha nipo hai! acha ufitini na umbeya, na kama umetumwa, kamwambie hukunikuta!Amelambwa ban baada ya kuleta udini siasani!
Kaja na Id nyingine,nayo imelambwa ban!
we mtu mbona ni mmbeya sana!! ulinilamba wewe!! mfyuuuuuuuuuu, unatafuta umaarufu baharini???? papa na nguva nao wafanyeje???
mpana mleta mada! utasema jua!anzisha la kizee............umeshikishwa kwani?
watu walioumbwa na tifutifu niwapeleke wapi??? namtaka mwanaume aliyefinyangwa na mfinyanzi halisi, mwenye staha na kujiamini, huyo wa kushabikia mambo mitandaoni, hana tofauti na mie ninayesuka twende kilioni! nicas upo?? tena hubby wangu Asprin asikusikie unaongelea habari za mie kutakwa na mtu mwingine!! lol, anaweza ua mtuInawezekana anakutaka.
hajui 1 wala A, Wakuhurumiwa, best upo??unajua maana ya Chit Chat.....?
hajui 1 wala A, Wakuhurumiwa, best upo??