Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,282
Duh!Njaa ya kongo hio.tunaijua kongo vizur sanaView attachment 750349
Duh!Njaa ya kongo hio.tunaijua kongo vizur sanaView attachment 750349
Hujajibu swali langu. Mfano mimi siwezi kusema wanawake wa Congo wana K..... mnato kuliko wa Tanzania kama sijafanyanao ngono na kuwalinganisha. Pia na wewe huwezi ukasema wanaume wa Congo ni bora sana kitandani kuliko wa Tanzania kama hujawahi kufanya nao ngono na kuwalinganisha.nkisema hapa mwanza mkolani kuna vibaka weng kwan lazma mm nae niwe kbaka,
We amekuamini nani.......afadhal nyie vbaka,wez hata nchi jran hamuamnk hata robo
mm n mgsnga wa kienyej nmezunguka sana mikoa ya tanzania na tatzo nliokutana nalo kubwa kw upand wa wanaume n kukosa nguvu za kiume.hta wanawak wanakuja kuwatafutia dawa wanaume zao il wapate kuwarshshaHujajibu swali langu. Mfano mimi siwezi kusema wanawake wa Congo wana K..... mnato kuliko wa Tanzania kama sijafanyanao ngono na kuwalinganisha. Pia na wewe huwezi ukasema wanaume wa Congo ni bora sana kitandani kuliko wa Tanzania kama hujawahi kufanya nao ngono na kuwalinganisha.
Hiyo hoja yako haina mashiko hata kidogo, wewe hujalala na wanaume wote wa Tanzania hata uweze kusema hayo unayosema.
Dah!!! Kusoma tu hii nimetapika. Siku nikishuudia sijui itakuwaje.Hio nchi ya wala nyoka na mnataka kuongea.tunaijua kongo vizuri sana
sasa kujua ni tatizo ?Tatizo wacongo wengi wanajifanya wajuaji sana. na ndio maana congo vita havijawahi kuisha. na inasemekana congo kuna makundi zaidi ya 30 ya upiganaji.
Huwezi kuelewa vitu vinavyozidi uwezo wako.hlo ndo tatzo la wabongo muda unaupanga mwnyw m nakuarbiaj
mm n mganga wa jadi,kwa tatzo lnalowasumbua wanaume wmg w tz m nguvu za kiume,hata wanawake wao huniletea malalamika ya kuwa mume wake hayuko vzr ktandan,hal hii imekaa tofaut kabsa na vjana wa kicongo huwa hawahangaiki ma swala kama hlo,,hapa nlpo nmefanya kaz mkoan mwamza,bk,shinyanga,geita nk.. wot wanatatzo la ngv za kiumeWanaume wengi wa kitanzania ni wavivu kitandani, jambo ambalo wacongo wako vizuri swala hili watanzania wanalielewa vizuri shughuli walio nayo vijana wa kicongo
Ulijuaje kama wanaume wa Congo wako poa kwa bed????
Kumbe unatangaza biashara kijanja humu??mm n mganga wa jadi,kwa tatzo lnalowasumbua wanaume wmg w tz m nguvu za kiume,hata wanawake wao huniletea malalamika ya kuwa mume wake hayuko vzr ktandan,hal hii imekaa tofaut kabsa na vjana wa kicongo huwa hawahangaiki ma swala kama hlo,,hapa nlpo nmefanya kaz mkoan mwamza,bk,shinyanga,geita nk.. wot wanatatzo la ngv za kiume
Yeye aende hata Lubumbashi aone. Siku moja niliona gari ya Gavana ikipita watu wanaikimbilia. Nikawauliza kulikoni? Wakasema: "Gavana akipita anamwaga pesa kwenye makundi ya watu nao wanaziokota. Hivyo hivyo kila siku." Hakuna kitu kama hicho Tanzania.Yaka Ndeko Nangai Olingi Koloba Nini? Unajua Wewe Una Matatizo Kabisa Kiufupi Tu Nimezaliwa Kisangani 1961 Wazazi Wangu Wakahamia Mwanza Tanzania 1967 Uliyoyainisha Hapo Nina Uhakika Congo Huijui Vizuri Congo Wananchi Wananuka Umasikini Dhahabu Zinachimbwa Na Wababe Unakuta Wanachimba Wengine Wanawalinda Wenzao Na Ak47 Maana Muda Wowote Kinanuka Nikipata Muda Nitakuja
hawana hela wabongoYeye aende hata Lubumbashi aone. Siku moja niliona gari ya Gavana ikipita watu wanaikimbilia. Nikawauliza kulikoni? Wakasema: "Gavana akipita anamwaga pesa kwenye makundi ya watu nao wanaziokota. Hivyo hivyo kila siku." Hakuna kitu kama hicho Tanzania.
Zile sio hela zinazomwagwa. Faranga 1 ni hela ya kumtupia mtu?hawana hela wabongo