Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,320
- 10,184
Unaonekàna una home fever rudi kwenu utapona, tuondolee kisirani kwenye nchi yetu.unajua unachokiongea

Tanzania ina export chakula kuja Congo. Sasa sijui ni nani mwenye njaa kati ya Congo na Tanzania!
Hebu pambaneni na Rwanda na Burundi kwanza, mkiwafikia mjaribu kuiongelea Tanzania!
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app[/QUOTE
tanzanite inatoka tanzania lakn wanunuz raia hawapo,ndomana mnapeleka nje,kama helazo bx nunueni nyie
Povuuu la Jana umelileta hukuNimezichunguza kwa makini
nchi hizi mbili mpaka nimekuja kugundua zinatofautiana katika mambo yafuatayo;
*Lugha ya kikoloni Tanzania ni kingereza, Congo ni kifaransa.
Lakini Congo kifaransa ni lugha inaongeleka na karibia watu wote kiasi kwamba inaonekana lugha ya kawaida.
Hii ni tofauti na Tanzania, ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana na ni lugha inatumika kama ufahari
*Nchini Tanzania wanafunzi wengi ndoto yao kuu ni kumaliza form 4 hata akifeli yeye ndo hapo amemaliza masomo, tofauti kabisa na nchi ya Congo vijana wengi wana ndoto ya kuhitimu elimu ya secondary na kupata diploma.
*Watanzania wanapenda umbea, vijana mpaka watu wazima, habari za udaku na tovuti za umbea ni maharufu sana na zinapendwa sana.
Lakini watu wa Congo wanapenda kusikiliza taarifa ya habari na uwezi kusikia tovuti za umbea zikawa maharufu kama ilivyo Tanzania.
*Tanzania ni nchi ya amani, kiasi amini hii ni fursa ya kifanya mambo makubwa ya kimaendeleo, lakini ni tofauti kabisa ambapo maisha ya raia mmoja mmoja ni magumu tofauti na Congo raia wako huru kufanya yao kuchimba madini ya nchi yao.
*Congo ni maarufu duniani kuliko Tanzania, inawanasoka na wanamuziki wazuri wanaitangaza nchi yao vyema duniani
ni neema kwa tanzania, mkoa wa Kigoma kuwa na watu wenye asili ya congo na burundi, watu wenye vipaji mbali mbali ndomana hata wasanii, mbunge, wachezaji bora ni kutoka Kigoma.
*Congo kuna wanamuziki, Tanzania kuna wasanii.
*Tanzania kuna shule nyingi kuliko Congo, lakini elimu ya Congo hiko juu kuliko ya Tanzania.
*Watanzania wengi hawajawahi kuiona zahabu ni tofauti kabsa na Congo kabisa hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya zahabu
*Bolingo, rhumba, zuku ni mziki kutokea Congo, Tanzania haina logo ya kitu chao kimataifa tofauti na kuiga kutoka kwenye nchi zingine.
*Utanashati, kuwa smart, kujipenda ni kitu muhimu sana kwa wa Congo, Tanzania utamaduni huu hawanaga kabisa labda siku wameanza kuiga kutoka kwa wacongo.
*Elimu ya ngazi ya diploma Tanzania hata chuo kikuu yapo, Congo ngazi ya diploma imeishia kwenye seco, college, inst.
*Wanaume wengi wa kitanzania ni wavivu kitandani, jambo ambalo wacongo wako vizuri swala hili watanzania wanalielewa vizuri shughuli walio nayo vijana wa kicongo.
NB; Unaruhusiwa kuongeza yako unayoyajua, yapo mengi kwa leo tuishie hapo.
tanzania n miongon mwa nch kumi ambazo wananchi wake hawana furaha dunianUnaonekàna una home fever rudi kwenu utapona, tuondolee kisirani kwenye nchi yetu.
Kilichokukimbiza kwenu nini?tanzania n miongon mwa nch kumi ambazo wananchi wake hawana furaha dunian
tanzania n miongon wa nchi ambazo zko nyuma kimichezo
tanzania n miongon mwa nchi kumi zenye walev weng africa,na aslimia 40 wanakunywa mpaka kuzima.
hapo kuna cha kujvunia kuitwa mtanzania
Tunapishana si wote wanaopenda umbea (congoman)unaweza kuniambia kwann mnapenda sana umbea kuliko kaz unayofanya
Yes umesema nchi yako ni bora asa sijui kimekuleta nn huku au saloon.bila shaka takwimu zangu umezielewa vyema,,,nenda ukawahuliz wale ndg zako walioko congo,tanzania wamekimbia nini. wakikupa majibu yarejeshe alafu nkupe data zng
Yes umesema nchi yako ni bora asa sijui kimekuleta nn huku au saloon.
Hahahahaha...kituko cha mwaka. Congo ambayo majeshi yetu yapo huko kuwasaidia madogo wa kinyarwanda wasiwaone.Nimezichunguza kwa makini
nchi hizi mbili mpaka nimekuja kugundua zinatofautiana katika mambo yafuatayo;
*Lugha ya kikoloni Tanzania ni kingereza, Congo ni kifaransa.
Lakini Congo kifaransa ni lugha inaongeleka na karibia watu wote kiasi kwamba inaonekana lugha ya kawaida.
Hii ni tofauti na Tanzania, ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana na ni lugha inatumika kama ufahari
*Nchini Tanzania wanafunzi wengi ndoto yao kuu ni kumaliza form 4 hata akifeli yeye ndo hapo amemaliza masomo, tofauti kabisa na nchi ya Congo vijana wengi wana ndoto ya kuhitimu elimu ya secondary na kupata diploma.
*Watanzania wanapenda umbea, vijana mpaka watu wazima, habari za udaku na tovuti za umbea ni maharufu sana na zinapendwa sana.
Lakini watu wa Congo wanapenda kusikiliza taarifa ya habari na uwezi kusikia tovuti za umbea zikawa maharufu kama ilivyo Tanzania.
*Tanzania ni nchi ya amani, kiasi amini hii ni fursa ya kifanya mambo makubwa ya kimaendeleo, lakini ni tofauti kabisa ambapo maisha ya raia mmoja mmoja ni magumu tofauti na Congo raia wako huru kufanya yao kuchimba madini ya nchi yao.
*Congo ni maarufu duniani kuliko Tanzania, inawanasoka na wanamuziki wazuri wanaitangaza nchi yao vyema duniani
ni neema kwa tanzania, mkoa wa Kigoma kuwa na watu wenye asili ya congo na burundi, watu wenye vipaji mbali mbali ndomana hata wasanii, mbunge, wachezaji bora ni kutoka Kigoma.
*Congo kuna wanamuziki, Tanzania kuna wasanii.
*Tanzania kuna shule nyingi kuliko Congo, lakini elimu ya Congo hiko juu kuliko ya Tanzania.
*Watanzania wengi hawajawahi kuiona zahabu ni tofauti kabsa na Congo kabisa hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya zahabu
*Bolingo, rhumba, zuku ni mziki kutokea Congo, Tanzania haina logo ya kitu chao kimataifa tofauti na kuiga kutoka kwenye nchi zingine.
*Utanashati, kuwa smart, kujipenda ni kitu muhimu sana kwa wa Congo, Tanzania utamaduni huu hawanaga kabisa labda siku wameanza kuiga kutoka kwa wacongo.
*Elimu ya ngazi ya diploma Tanzania hata chuo kikuu yapo, Congo ngazi ya diploma imeishia kwenye seco, college, inst.
*Wanaume wengi wa kitanzania ni wavivu kitandani, jambo ambalo wacongo wako vizuri swala hili watanzania wanalielewa vizuri shughuli walio nayo vijana wa kicongo.
NB; Unaruhusiwa kuongeza yako unayoyajua, yapo mengi kwa leo tuishie hapo.
Ndo nini mkuu?Kukomela masanga
Nimezichunguza kwa makini

hakuna wanajesh ambae anaweza kulinda amani congo sems siasa za un ndo zimewaweka pale,,na nina huakka siasa ya un bado inakutatza,lait ungekuwa na huwelewa juu ya hl swala hata usnge ongea chochote, hv unaweza niambia monusco ina miaka mingap drc na imeleta mabadlka au ina msaada gan katka nchi ya congo,..labda nkusaidie tu monusco huwa ni watalii tu ndan ya nchi ya congo..hasa wa tz hawanaga wanachokfnyaHahahahaha...kituko cha mwaka. Congo ambayo majeshi yetu yapo huko kuwasaidia madogo wa kinyarwanda wasiwaone.
Salamu kiongozi....nalinda mzimu wa Mwenge leo.1.Congo kuna wanamuziki, Tz kuna wakaa Uchi na watangaza ngono.
2. Hivi Congo wana mwenge? Tz unapita kila mwaka na kila unapolala mwenge, pananuka Ngono tupu.