Utofauti wa nchi ya Tanzania na Congo DRC

Utofauti wa nchi ya Tanzania na Congo DRC

nmekufafanunulia vzr kabsa
alaf drc hamnaga mashoga kama tz

DRC kuna mashoga wengi tu, usijidanganye na wala usidanganye watanzania ambao hawajawahi kuishi Congo. Binafsi namfahamu "Tantine Merveiile" ambaye yeye mwenyewe anajiita "Le Plus Grand Pede De Kin", yaani shoga kubwa zaidi Kinshasa......na pia kuna yule shoga mwehu aitwaye "Papa Homo," ambaye anasadikika kalala na wanamuziki wengi tu pamoja na mapastor na mawaziri na aliwataja. Kinshasa makambo ndeko na ngai, loba makambo ya solo.
 
Ni haibu kubwa sana kugombania lugha ya kikoloni kwani hata huko Congo Mcongongoman akiongea Kifaransa ni kama vile anaongea lugha yake ya nyumbani, lafudhi ngumu na hawaeleweki. Waganda kama wakiongea kiingereza utacheka mpaka mtu unajiuliza kuna ufahari gani kuongea lugha ya wakoloni wakati hata lafudhi ni ya kibantu? Mfano angalia Nigeria....hawajuwi kuongea kiingereza...mtu anaongea kiingereza mpaka unatamani kulia kumuonea huruma maana anaongea huku akicheka mwenyewe. Hujawahi kuishi Congo, tuulizie sie tuliofika huko na kuishi nao.
congo wana lafudhi nzr ya kuongea kfaransa.c kma warund wanavyongea kfaransa
 
DRC kuna mashoga wengi tu, usijidanganye na wala usidanganye watanzania ambao hawajawahi kuishi Congo. Binafsi namfahamu "Tantine Merveiile" ambaye yeye mwenyewe anajiita "Le Plus Grand Pede De Kin", yaani shoga kubwa zaidi Kinshasa......na pia kuna yule shoga mwehu aitwaye "Papa Homo," ambaye anasadikika kalala na wanamuziki wengi tu pamoja na mapastor na mawaziri na aliwataja. Kinshasa makambo ndeko na ngai, loba makambo ya solo.
congo wana lafudhi nzr ya kuongea kfaransa.c kma warund wanavyongea kfaransa
mkongo akiongea na mfaransa hawatofautiam
 
congo wana lafudhi nzr ya kuongea kfaransa.c kma warund wanavyongea kfaransa
Wewe unajivunia Wa Congo, kinawasaidia nini, Lugha ambayo sio International, Kwa taarifa yako Wa Congo wanajivunia sana kuongea Kiswahili.
 
Unashangaa Tanzania kuhusu umbea???
Kuna nchi inaongoza kwa habari, tv na majarida ya umbea kuliko marekani???
 
Wewe unajivunia Wa Congo, kinawasaidia nini, Lugha ambayo sio International, Kwa taarifa yako Wa Congo wanajivunia sana kuongea Kiswahili.
kifaransa ni lugha internation,hv kumbe ujuw humuhmu wa lugha,kiswahl ili kiwapeleke wap...wabongo ndo huwa wanahamu ya kuongea lingala maana cku hz kila msanii anataka aweke kiongo cha lingala,,,,,,
 
hawanaga muda na umbea wale wako bz na mambo yao,labda ungesema habar
 
mkongo akiongea na mfaransa hawatofautiam

Inasikitisha sana, bado mna mawazo ya kikoloni.....mimi nimeishi Congo DR na ninaweza tofautisha kabisa lafudhi ya Mcongoman, Mcameroon na Mfaransa au Mbelge. Wanajitahidi, ila unajisikiaje kuabudu lugha ya mkoloni na kuwa yako?
 
tanzania n miongon mwa nch kumi ambazo wananchi wake hawana furaha dunian

tanzania n miongon wa nchi ambazo zko nyuma kimichezo

tanzania n miongon mwa nchi kumi zenye walev weng africa,na aslimia 40 wanakunywa mpaka kuzima.

hapo kuna cha kujvunia kuitwa mtanzania
Wa ache siku ambayo nita pita madarakani akuna ka inchi ambako katafanya fyooo kuanzia marekani mpaka vibaraka vyao Tanzania nita choma moto tu
 
Nimezichunguza kwa makini
nchi hizi mbili mpaka nimekuja kugundua zinatofautiana katika mambo yafuatayo;

*Lugha ya kikoloni Tanzania ni kingereza, Congo ni kifaransa.
Lakini Congo kifaransa ni lugha inaongeleka na karibia watu wote kiasi kwamba inaonekana lugha ya kawaida.
Hii ni tofauti na Tanzania, ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana na ni lugha inatumika kama ufahari

*Nchini Tanzania wanafunzi wengi ndoto yao kuu ni kumaliza form 4 hata akifeli yeye ndo hapo amemaliza masomo, tofauti kabisa na nchi ya Congo vijana wengi wana ndoto ya kuhitimu elimu ya secondary na kupata diploma.

*Watanzania wanapenda umbea, vijana mpaka watu wazima, habari za udaku na tovuti za umbea ni maharufu sana na zinapendwa sana.
Lakini watu wa Congo wanapenda kusikiliza taarifa ya habari na uwezi kusikia tovuti za umbea zikawa maharufu kama ilivyo Tanzania.

*Tanzania ni nchi ya amani, kiasi amini hii ni fursa ya kifanya mambo makubwa ya kimaendeleo, lakini ni tofauti kabisa ambapo maisha ya raia mmoja mmoja ni magumu tofauti na Congo raia wako huru kufanya yao kuchimba madini ya nchi yao.

*Congo ni maarufu duniani kuliko Tanzania, inawanasoka na wanamuziki wazuri wanaitangaza nchi yao vyema duniani
ni neema kwa tanzania, mkoa wa Kigoma kuwa na watu wenye asili ya congo na burundi, watu wenye vipaji mbali mbali ndomana hata wasanii, mbunge, wachezaji bora ni kutoka Kigoma.

*Congo kuna wanamuziki, Tanzania kuna wasanii.

*Tanzania kuna shule nyingi kuliko Congo, lakini elimu ya Congo hiko juu kuliko ya Tanzania.

*Watanzania wengi hawajawahi kuiona zahabu ni tofauti kabsa na Congo kabisa hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya zahabu

*Bolingo, rhumba, zuku ni mziki kutokea Congo, Tanzania haina logo ya kitu chao kimataifa tofauti na kuiga kutoka kwenye nchi zingine.

*Utanashati, kuwa smart, kujipenda ni kitu muhimu sana kwa wa Congo, Tanzania utamaduni huu hawanaga kabisa labda siku wameanza kuiga kutoka kwa wacongo.

*Elimu ya ngazi ya diploma Tanzania hata chuo kikuu yapo, Congo ngazi ya diploma imeishia kwenye seco, college, inst.

*Wanaume wengi wa kitanzania ni wavivu kitandani, jambo ambalo wacongo wako vizuri swala hili watanzania wanalielewa vizuri shughuli walio nayo vijana wa kicongo.

NB; Unaruhusiwa kuongeza yako unayoyajua, yapo mengi kwa leo tuishie hapo.
Congo wana sema Maharufu Tanzania Maarufu
Congo wana sema Zahabu wa Tanzania tunaita Dhahabu
 
Back
Top Bottom