Utofauti wa nchi ya Tanzania na Congo DRC

Utofauti wa nchi ya Tanzania na Congo DRC

congo ni nchi pekee yenye rasilimali nyng barani africa
Lkn inapigwa na kanchi kadogo kama Rwanda na wanachota madini yenu na wamewawekea mpk rais mnyarwanda Kabila hahah.

Wakongo wanachojua ni kukata mauno tu na uvumbuzi wa vumbi la mkongo full stop.
 
kwanza helewen kuwa lcha ya nchi ya congo ina migogoro na tanzania ni nchi ya aman lakn nchi ya congo hko vizur kwny vwango vya juu kama vile;

*mpira wa miguu
kuanzia ngaz ya vilabu mpaka timu ya taifa
tangu mlipoaza kucheza mpira hamna hta cha kujvunia

*mziki mzur
sisi tunamziki wa kwetu na si kuibia kwa wngn
sisi tuna wanamuzk na si wasanii
wasanii wetu wanautajr wa muzik

*rasilimali
hapo nyinyi wnyw habari mnayo
 
Mm na tabia moja ya ajabu. Mm popote ninapoenda lazima nile vyakula vya wenyeji. Hapo ningeagiza bugali nyoka, siku nyingine napiga no. 2 mpaka list ingeisha.
Huwa natamani sana nile konokono, nyoka, panya, hasa hasa nyoka huyu namtaman sana huwa anajifanya mbabe sana
Nilienda kwa kurya nilikula kichuri. Kitamu sana ukipiga kwa nyama, na pia nilikula ugali wa mtama
Nyoka+konokono nenda restaurant za kichina dar/mwanza/Arusha wanauza hizo mambo.
 
Lkn inapigwa na kanchi kadogo kama Rwanda na wanachota madini yenu na wamewawekea mpk rais mnyarwanda Kabila hahah.

Wakongo wanachojua ni kukata mauno tu na uvumbuzi wa vumbi la mkongo full stop.
hata marekani inasumbuliwa na korea kaskazini.kwanini sisi utushangae
 
hata marekani inasumbuliwa na korea kaskazini.kwanini sisi utushangae
Hahah kwa hio wanajeshi wa korea wako ndani ya Marekani wanaiba madini na kuwachagulia rais wamarekani sio?
 
kwanza helewen kuwa lcha ya nchi ya congo ina migogoro na tanzania ni nchi ya aman lakn nchi ya congo hko vizur kwny vwango vya juu kama vile;

*mpira wa miguu
kuanzia ngaz ya vilabu mpaka timu ya taifa
tangu mlipoaza kucheza mpira hamna hta cha kujvunia

*mziki mzur
sisi tunamziki wa kwetu na si kuibia kwa wngn
sisi tuna wanamuzk na si wasanii
wasanii wetu wanautajr wa muzik

*rasilimali
hapo nyinyi wnyw habari mnayo
Sasa kwanini wacongo wanaume kazi zao huku Tz ni kusuka dada zetu saluni au ndio elimu bora inayotolewa huko Congo?
 
hyo moja gavana wa bongo ameshawapa kuwapa au nae analia nae vyuma vmekaza

Umeanza mada ambayo hutaweza kuisimamia vizuri. Watu watasema humu ya Kongo ambayo hutayapenda. Mimi sitaendelea zaidi.
 
Hahah kwa hio wanajeshi wa korea wako ndani ya Marekani wanaiba madini na kuwachagulia rais wamarekani sio?
hata usione ajabu ndg kusumbuliwa na rwanda hata islamic states inawasumbua madola ya dunia hapo hvyo nikizugumzia marekan,chin,urus,uingereza,ujeruman,ufaransa n.k
 
duh afadhal umenisaidis na hy

sijakurupuka kusema hvyo nnahuakka na nnachokiongea

africa mko kwny nafs ya ngp kielimu

congo ni nchi ya pl afrca kuongea kifaransa kizur na kuongelewa na raia wng.

tanzani kuongea kngreza mko kwny nafas ngp,hata kwny EA waganda wako vzr kulko nyny
Elimu ingekua inapimwa, kwa wenyeji kuongea Lugha za kigeni, basi nchi kama za China Ujerumani Zingekua za mwisho.
 
Bongo zinapatikana chinese restaurants na sio kwa mama ntilie kama huko Congo
ila c zpo bongo au?
Sasa kwanini wacongo wanaume kazi zao huku Tz ni kusuka dada zetu saluni au ndio elimu bora inayotolewa huko Congo?
kwa taarifa yako nko maeneo ya chuo cha saut,prof anaefundsha kfaransa n mcongo
sasa ngoja nikuambie ktu usichokijua.walimu weng wanaofundsha kfaransa tz ni wakongo,kuanzia shule za msng mpaka chuo kikuu
 
Elimu ingekua inapimwa, kwa wenyeji kuongea Lugha za kigeni, basi nchi kama za China Ujerumani Zingekua za mwisho.
cjaangalia kwa kigezo hcho
ila kwanini mnapnda sana kuwapeka watoto english medium,na zpo nyng,
bongo hata kwenye matangazo ya kutafuta wafanyakaz,lazma hchi kikezo kitumike
*awe anajua kuongea na kuandika kingereza vizur
 
1.Congo kuna wanamuziki, Tz kuna wakaa Uchi na watangaza ngono.

2. Hivi Congo wana mwenge? Tz unapita kila mwaka na kila unapolala mwenge, pananuka Ngono tupu.
Ata mm huwa najiuliza kwann mwenge unapolala ngono ndo inatawala
 
Nimezichunguza kwa makini
nchi hizi mbili mpaka nimekuja kugundua zinatofautiana katika mambo yafuatayo;

*Lugha ya kikoloni Tanzania ni kingereza, Congo ni kifaransa.
Lakini Congo kifaransa ni lugha inaongeleka na karibia watu wote kiasi kwamba inaonekana lugha ya kawaida.
Hii ni tofauti na Tanzania, ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana na ni lugha inatumika kama ufahari

*Nchini Tanzania wanafunzi wengi ndoto yao kuu ni kumaliza form 4 hata akifeli yeye ndo hapo amemaliza masomo, tofauti kabisa na nchi ya Congo vijana wengi wana ndoto ya kuhitimu elimu ya secondary na kupata diploma.

*Watanzania wanapenda umbea, vijana mpaka watu wazima, habari za udaku na tovuti za umbea ni maharufu sana na zinapendwa sana.
Lakini watu wa Congo wanapenda kusikiliza taarifa ya habari na uwezi kusikia tovuti za umbea zikawa maharufu kama ilivyo Tanzania.

*Tanzania ni nchi ya amani, kiasi amini hii ni fursa ya kifanya mambo makubwa ya kimaendeleo, lakini ni tofauti kabisa ambapo maisha ya raia mmoja mmoja ni magumu tofauti na Congo raia wako huru kufanya yao kuchimba madini ya nchi yao.

*Congo ni maarufu duniani kuliko Tanzania, inawanasoka na wanamuziki wazuri wanaitangaza nchi yao vyema duniani
ni neema kwa tanzania, mkoa wa Kigoma kuwa na watu wenye asili ya congo na burundi, watu wenye vipaji mbali mbali ndomana hata wasanii, mbunge, wachezaji bora ni kutoka Kigoma.

*Congo kuna wanamuziki, Tanzania kuna wasanii.

*Tanzania kuna shule nyingi kuliko Congo, lakini elimu ya Congo hiko juu kuliko ya Tanzania.

*Watanzania wengi hawajawahi kuiona zahabu ni tofauti kabsa na Congo kabisa hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya zahabu

*Bolingo, rhumba, zuku ni mziki kutokea Congo, Tanzania haina logo ya kitu chao kimataifa tofauti na kuiga kutoka kwenye nchi zingine.

*Utanashati, kuwa smart, kujipenda ni kitu muhimu sana kwa wa Congo, Tanzania utamaduni huu hawanaga kabisa labda siku wameanza kuiga kutoka kwa wacongo.

*Elimu ya ngazi ya diploma Tanzania hata chuo kikuu yapo, Congo ngazi ya diploma imeishia kwenye seco, college, inst.

*Wanaume wengi wa kitanzania ni wavivu kitandani, jambo ambalo wacongo wako vizuri swala hili watanzania wanalielewa vizuri shughuli walio nayo vijana wa kicongo.

NB; Unaruhusiwa kuongeza yako unayoyajua, yapo mengi kwa leo tuishie hapo.
Uzi wa kuiponda Tz hu, hamna kingine hapa.

Hapk kwenye wanaume wa kongo wako vizuri kitandani, wamekupiga nawe paipu?? Wee mwanaume unaongelea wanaume wanapiga mashine freshi, bila shaka wewe ni wale wanaume wa kujichubua.
 
nmekufafanunulia vzr kabsa
alaf drc hamnaga mashoga kama tz
 
duh afadhal umenisaidis na hy

sijakurupuka kusema hvyo nnahuakka na nnachokiongea

africa mko kwny nafs ya ngp kielimu

congo ni nchi ya pl afrca kuongea kifaransa kizur na kuongelewa na raia wng.

tanzani kuongea kngreza mko kwny nafas ngp,hata kwny EA waganda wako vzr kulko nyny

Ni haibu kubwa sana kugombania lugha ya kikoloni kwani hata huko Congo Mcongongoman akiongea Kifaransa ni kama vile anaongea lugha yake ya nyumbani, lafudhi ngumu na hawaeleweki. Waganda kama wakiongea kiingereza utacheka mpaka mtu unajiuliza kuna ufahari gani kuongea lugha ya wakoloni wakati hata lafudhi ni ya kibantu? Mfano angalia Nigeria....hawajuwi kuongea kiingereza...mtu anaongea kiingereza mpaka unatamani kulia kumuonea huruma maana anaongea huku akicheka mwenyewe. Hujawahi kuishi Congo, tuulizie sie tuliofika huko na kuishi nao.
 
Back
Top Bottom