Utofauti wa nchi ya Tanzania na Congo DRC

Utofauti wa nchi ya Tanzania na Congo DRC

Yaka Ndeko Nangai Olingi Koloba Nini? Unajua Wewe Una Matatizo Kabisa Kiufupi Tu Nimezaliwa Kisangani 1961 Wazazi Wangu Wakahamia Mwanza Tanzania 1967 Uliyoyainisha Hapo Nina Uhakika Congo Huijui Vizuri Congo Wananchi Wananuka Umasikini Dhahabu Zinachimbwa Na Wababe Unakuta Wanachimba Wengine Wanawalinda Wenzao Na Ak47 Maana Muda Wowote Kinanuka Nikipata Muda Nitakuja
acha kuongea usioyajua uliza uambiwe
 
Aliyeandika hii post ni mutu ya kigoma bila shaka....imejaa ujinga tu...wacongo ndoto zao ni kufika bongo..lakini wabongo hawana ndoto za kwenda congo....
hata mbongo anataman kuishi kipapa,
 
Kuhusu wa TZ kupenda umbea ni kweli. Hili ni janga la taifa. Kwa upande wa Congo siwezi kuwazungumzia kuhusu kupenda habari sina uhakika.

Congo kuna wanamuziki, bongo kuna wasanii hii ni kweli kabisa.

Mengine nakukatalia kabisa. Nyie ni masikini wa kufwa mutu hamuwezi kufananisha na waTz japo tunaisoma 1.5 Tril ila bado bhana.
nini tatzo la vyuma kukaza,pesa hamna
 
Hakuna uhalisia mkuu hata kidogo!

Congo haiko America kusini mkuu ni majirani zetu watu wengi tunatembelea hiyo nchi tunaijua haswaa

japo Tz inajikongoja lakini huwezi ukailinganisha na Congo labda kama ni ushabiki sawa lakini ukiacha ushabiki ukatumia akili yako unaweza ukaukataa huu uzi wako.

Vijania wa kileo wanasema acha kufananisha Tz na vitu vya kijinga.
kwa miaka mingap ya aman et bado mnajkongoja
 
Yaka Ndeko Nangai Olingi Koloba Nini? Unajua Wewe Una Matatizo Kabisa Kiufupi Tu Nimezaliwa Kisangani 1961 Wazazi Wangu Wakahamia Mwanza Tanzania 1967 Uliyoyainisha Hapo Nina Uhakika Congo Huijui Vizuri Congo Wananchi Wananuka Umasikini Dhahabu Zinachimbwa Na Wababe Unakuta Wanachimba Wengine Wanawalinda Wenzao Na Ak47 Maana Muda Wowote Kinanuka Nikipata Muda Nitakuja
Umezaliwa kisangani 61 ukaja bongo 67, umeondoka kongo mgongoni unajua nini kuhusu huko?
 
Congo nchi inayopigwa hadi na Rwanda nchi ndogo kuliko Kariakoo afu iwe sawa na Tanzania iliyowawekea hadi Rais wenu.

Tanzania iliyoongoza mapambano ya kuwatoa M23 Congo iwe sawa na Congo.

Nchi ambayo Raia wake wote wa kiume wanajipodoa kama jokate mwegelo.

Ahahaha!! Gimmie a break bro!
 
congo ni nchi pekee yenye rasilimali nyng barani africa
Rasilimali ambazo hata kagame anajichotea tu!

Kuna vitu kadhaa ambavyo wakongo mnatuzidi watanzania.

- kujichubua. Hata mtoa mada nahisi amejichubua kumshinda Dada yake.

- kupenda kulelewa. Kuna uwezekano mkubwa mtoa mada yuko magomeni anafugwa na jimama la kibongo alafu anaisifia Kongo.

- wanaume kuvaa nguo za kike. Sio mara moja au mbili nimeona vijana wa kikongo wakiwa wamevaa blauzi.

Mtoa mada kua na adabu, hapo Congo ni kama shamba la kijiji, kila mtu anajichumia tu!

Subiri M23 wakiwabana tena tutakuja kuwasaidia!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Rasilimali ambazo hata kagame anajichotea tu!

Kuna vitu kadhaa ambavyo wakongo mnatuzidi watanzania.

- kujichubua. Hata mtoa mada nahisi amejichubua kumshinda Dada yake.

- kupenda kulelewa. Kuna uwezekano mkubwa mtoa mada yuko magomeni anafugwa na jimama la kibongo alafu anaisifia Kongo.

- wanaume kuvaa nguo za kike. Sio mara moja au mbili nimeona vijana wa kikongo wakiwa wamevaa blauzi.

Mtoa mada kua na adabu, hapo Congo ni kama shamba la kijiji, kila mtu anajichumia tu!

Subiri M23 wakiwabana tena tutakuja kuwasaidia!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39][/QUOTE
ukwel siku zote unauma,sasa nyie nayo mnalp la kujvunia,aman kwenye njaa
ma vyuma vitazd kukaza
 
Tanzania ina export chakula kuja Congo. Sasa sijui ni nani mwenye njaa kati ya Congo na Tanzania!

Hebu pambaneni na Rwanda na Burundi kwanza, mkiwafikia mjaribu kuiongelea Tanzania!

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom