Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,158
Habari!

Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe?

Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe?

Narudi mezani napata jibu ni Mungu tu kwasababu zake mwenyewe ameamua kumpunja Mwafrika akili maana hata Waaafrika ambao wangezaliwa na kuishi huko Amerika na Asia hawaishiwi ulimbukeni na ushamba.

Nimewahi kufanya kazi na Wazungu Acacia, General manager alikuwa analipwa zaidi ya milioni 60 za Kitanzania kwa mwezi lakini alikuwa hataki kuitwa boss, alikuwa hana dereva wala body guard.

Nimewahi kufanya kazi na Wazungu pia huko Serengeti hotel moja ya gharama na nzuri sana. Ambayo 24 hrs gharama ya chini ilikuwa milioni 1.4 na sasa imepanda nasikia maana mimi niliacha baada ya kupata kibarua Serikalini. Hotel ambayo watu maarufu kama Bush, Beckham n.k hukosi kuwaona kule. Kule hakuna mtalii Mchina, Mhindi wala Mwafrika. Kule madoni walikuwa wanatumia mpaka milioni 20 per day.

General manager alikuwa analipwa pesa nyingi sana ila hakuwa na mlinzi kwake, alikuwa hataki kabisa kumuita boss.

Tukio la juzi la kuapishwa King Charles wa Uingereza mmeoana, hakuwa na mpambe wa kumsogezea daftari la mikataba, kiti alikisogeza mwenyewe.

Turudi Afrika sasa
• Kila mwanamuziki ambaye yuko kwenye chati tu mabody guards kama wote.
• Leo kazini msimamizi wako acha kumwita boss, muite jina lake la kawaida uone kama hutapewa kesi ya wizi wa mali za umma.
• Ufisadi na urasimu.
Afrika huwezi kusajili biashara siku moja, urasimu ni mwingi.
• Kesi inakaa mpaka miaka 7 ndo inatolewa hukumu hasa kesi ya mauaji. Baadaye mtuhumiwa anaachiwa huru kuwa hana hatia huku tayari kakaa mahabusu miaka 7. Mlipeni basi mabilioni ya kumfidia. Maana kumweka mtu ndani miaka saba si uuaji kabisa.
• Huku Afrika karibu kila Kiongozi wa nchi kila anaposimama au kukaa nyuma yake kuna AD kavaa nguo za kijeshi.

Aibu sana.
 
Kutaka kujua hilo angalia wamarekani weusi walivyokuwa wajinga pesa zao zinaishia kwenye kuvaa dhahabu kwenye Meno, cheni shingoni na magari ya kifahari yaani huwa mara najiuliza mwenyewe kuwa hawa jamaa Wana Akili kweli?

Wamezaliwa Marekani lakini bado Akili zao ni fupi mno ndiyo maana jela zote za Marekani zimejaa watu weusi.
 
Kutaka kujua Hilo angalia wamarekani weusi walivyokuwa wajinga pesa zao zinaishia kwenye kuvaa dhahabu kwenye Meno, cheni shingoni na magari ya kifahari yaani huwa mara najiuliza mwenyewe kuwa hawa jamaa Wana Akili kweli? Wamezaliwa marekani lkn bado Akili zao ni fupi mno ndiyo maana jela zote za marekani zimejaa watu weusi.
Ahahahaha
Huruma sana
 
Unakuta Mweusi mwenye pesa magari 60 ya kutembelea, nguo za gharama, nk. Lakini mweupe mfano Mchina yupo simple tu na ni tajiri tena mnalala wote site.

Cheki ushamba wa mayweather, Tyson, rockross na wasanii kibao, nini sasa kuonyesh mapesa Ili iweje sasa. Lakini huwezi kuta mwanamziki mweupe au tajiri Mzungu analimbuka na pesa.
 
Kuongoza nyeuthiz inabidi udikteta na sheria kali za kunyonga ziwepo, maana hatutaki kushirikisha ubongo.

Majitu yanahaha kutafuta kazi, yakipatA kazi hayatumikii, kazi umbeya, majungu, fitna, uwizi, na utoro, tukipata kiongozi ea kupeleka mchaka mchaka tushukuru Mungu kwakweli.
 
Back
Top Bottom