Mzungu atabaki kuwa moyoni mwa mtu mweusi tu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Waafrika kila kukicha tunatukana watu wa magharibi kuwa ni wezi sijui mashetani

Wengine mabeberu

Nakutukuza sijui BRIS ndo mpango mzima kwasasa

Lakini cha ajabu na chakuchekesha ni kuwa kila kukicha maelfu ya watu weusi wanavuka bahari na wengine wanakufa baharini wakienda katika nchi za wazungu

Wingereza na ufaransa wengine kwasasa wamevuka mipaka wanaingia mpaka usa wengine Canada

Ninacho jiuliza kwani urusi na china zipo dunia gani mbona sisikii watu wakifa sijui bahari wakienda uko

Always kutenganisha mzungu na mtu mweusi ni vigumu saana tunaweza kuwakataa kimdomo mdomo lakini moyoni tukabaki nao

Kikubwa tuwaache waimbe Mali zetu kwa wingi ili wajenge kwao saana na sisi twende kwao kuchuna walicho kichukuwa afrika nakupata akili zaidi

Maana tusidanganyane mtu mweusi bado hajawa na akili ya kujitawala mwenyewe ndo maana tumekuwa Kama bendera bado tunaitaji elimu zaidi ya huu ulimwengu na jinsi ya kwenda na wakati maana mtu mweusi Ana Rudi na wakati
 
Ngoja wale wa komunisti na wasosholisti kina luka mwasha , paskali et al waje wakupinge.
 
Nothing to say, katiba tu kuipata mtihani,sisi Kiuhalisia tunapaswa kurudi kuishi kwa mfumo wa uchifu na kifalme kama zamani, democracy siyo jambo letu kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom