Mheshimiwa_Mtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 288
- 215
---Hii hali inayoendelea Zanzibar ya wengi kujitokeza kuchukua fomu ya ugombea urais inaweza ikawa siyo hali ya kawaida.
Inawezekana kuna mpango wa kundi flani huku, kusuka wa kumpitisha mgombea wao lakini labda upande wa pili wakaona namna ya kuuvuruga huo mpango na kufanya suprise ni wengi kuchukua fomu.
Haiwezekani Bashiru ashangazwe na watu wengi kuchukua fomu,na zamu hii zanzibar hamna 3 au 5 bora anatafutwa tu mmoja.
Hii hali ya wengi kuchukua fomu inawezekana ni kuvuruga mipango ya upande mwingine au kuna watu wana mpango wao binafsi.
Kufuatia utitiri wa wagombea urais Zanzibar, kuna mkakati gani wa siri? Au wanataka kupingana na chaguo la mkuu?
Karibuni tujadili.
Nadhani wengine wanataka popularity tuu MkuuHii sasa too much, mpaka ali Karume! 2015 alipiga kampeini yuko bye mbele ya tv, leo anataka urais?
We had 40 contestants in 2015 Bara, so what is strange here?Wadau,
Mpaka leo 19/06/2020 wanachama 13 wa CCM wamechukua fomu kuwania kuteuliwa ili kugombea nafasi ya URAIS katika visiwa vya Zanzibar.
Idadi hii sio haba, je ni kukua kwa demokrasia au kudhoofika? Je, hatma yake ni shwari au sharii? Yajayo yanfurahisha.
CCM oyee
Wadau,
Mpaka leo 19/06/2020 wanachama 13 wa CCM wamechukua fomu kuwania kuteuliwa ili kugombea nafasi ya Urais katika visiwa vya Zanzibar.
Idadi hii sio haba, je ni kukua kwa demokrasia au kudhoofika? Je, hatma yake ni shwari au sharii? Yajayo yanfurahisha.
CCM oyee
Hata maelekezo ya kuchagua na maelekezo ya wachaguliwa vyote vinatoka baraNgoja tuwaone Wazanzibar awamu hii iwapo watamchagua Mpambanaji wa kutetea maslahi ya Nchi yao au wataendeleza desturi yao ile ile ya kuchagua Mgombea ambaye ataiongoza Zanzibar huku maelekezo yote yakitoka Bara.
Ngoja tuwaone Wazanzibar awamu hii iwapo watamchagua Mpambanaji wa kutetea maslahi ya Nchi yao au wataendeleza desturi yao ile ile ya kuchagua Mgombea ambaye ataiongoza Zanzibar huku maelekezo yote yakitoka Bara.
Ana haki ya kikatiba ya kuchagua au kuchaguliwa. Kwani walevi hawaruhusiwi kichagua au kuchaguliwa?? Mbona serikali inavisifiwa viwanda vya pombe kwa kazi nzuri? Kwa nini iwachukie wateja wake?Hii sasa too much, mpaka Ali Karume! 2015 alipiga kampeini yuko bye mbele ya tv, leo anataka urais?
Siasa ni mchezo mkuu, kama ambavyo Membe anawachezea Wapinzani sasa
Membe CCM ndo anawaumiza akili, hata yeye mwenyewe anajua itakuwa vigumu kukubaliwa na upinzani labda agombee upande wa cuf au nccr mageuzi au tlp
Mhhh ! BALAA ZITO HILIMembe atagombea hapohapo CCM na Jiwe akiwepo.
🤣 🤣 🤣 🤣Umeanza lini uganga wa jadi huu