Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

Ata mm naitaji kujua
Kwenye barua ya uteuzi ilitaja nafasi mbili za uteuzi huo kwanza katibu mkuu kiongozi na wakati huo huo akateuliwa pia kuwa balozi kwa hadhi inayowakilisha nchi kutokana na majukumu yake kubebwa taswira ya taifa ndani na nje ya nchi kiutendaji katika kusimamia maadili ya watumishi wa umma hovyo ndivyo nilivyoelewa mie.
 
Angeteuliwa yeye J J Mnyika angekataa?
Ndiyo yaleyale ya;

"....mbona unanilalamikia mimi kutoka nje ya ndoa (kuzini) wakati na wewe huwa unafanya hivyo..?"

Johnthebaptist, hii siyo ishu ya; "...angekuwa kateuliwa yeye angekataa...?"

It's about "principles". Tatizo haliko kwa mteuliwa, principally tatizo liko kwa mteuzi ku - violate principles....!!
 
Aki enjo pia
 
Kama hizi ndio hoja za CHADEMA siku hizi basi nikiri kusema hakuna umuhimu wa upinzani tena. Kama mtu ana sifa na vigezo vya kuteuliwa , hakuna namna kufanywa hivyo
Alidhani amevunja katiba kwa kuwa Bushiru hakuwa mtumishi wa umma.
Ila mshikaji katumia akili kamteua kua balozi ili aweze kua mtumishi wa Umaa na atimize azma ya kteua kua balozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…