Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,969
- 51,127
Usimuwaze Lissu wakati unaandika habari za Zitto!!pona hakuponda uteuzi wa kitila
Usimuwaze Lissu wakati unaandika habari za Zitto!!pona hakuponda uteuzi wa kitila
Rais kashasifiwa anatuongoza kama Robert Mugabe wa Zimbabwe.maamuzi kama haya ya kubadilisha gavana ,ukiona wanauchumi hawaongei chochote,wanasiasa hawaongei chochote,sarafu ya nchi hujui ina react vipi kwa mabadiliko haya,uchumi wa nchi nao hatujui,basi elewa tunaishi in a junk status country.sure mkuu wetu awe anatumia busara kufanya mabadiliko kama haya ambayo yana direct impact kwa nchi.
Hana hoja ana viojaWewe na yeye nani anastahili jina hilo? Unadhani makombo yakitupwa chini nani kati yenu atakimbilia kuyala kama sio wewe ambaye pengine hata anuani huna. Mwenzio anabishana kwa hoja na wakuu wa nchi hii wewe umebaki kupiga vigelegele kila upuuzi ujao mbele yako.
Mkuu, kabisa! utangazaji wa uteuzi huu staili yake haijapata tokea
Ndio maana mahakamani shahidi anatakiwa kuwa makini sana unaweza ukafikiri unamtetea jamaa yako kumbe unamuingiza matatani, ukiulizwa baba jeska alimfanya nini Lissu utajibu nini.Zitto jifunze kwa yaliyomkuta lissu
Baba jeska hana utani
Wewe una ujasiri gani?Ungeweka hapa tuone. Kuna kauli ilisemwa wakati ule Lissu ni mahututi kuwa kila aliyekwenda kumuona alirudi amekuwa mpya na woga na hofu anaacha hukohuko Kenya na kuwa shujaa.
Nimeanza kuamini, kweli kwa kupigwa kwako Lissu sisi tumekuwa majasiri
Mlipoambiwa wanazaliwa akina Lissu wengi mliona kama mchezo ivi. Ona sasa, chuma kwa chuma!
CDM mziki mwingine, si aliapa eti atausambakatisha upinzani, kumbe ndio unaujenga. Sasa yule pro-pesa eti aliongea kwa niaba yà vyama vya siasa Tanzania, aliniboa sana. Sijawahi ona mtu mzima mseja!!
Zito nae si aandike kiswahili tu?
Aliingizwa chaka na mstaafu wa udasaSiku zote uwa naamini Zito ni msaliti.
Nimeanza kubadili msimamo.
Hata Magufuli anajua vema Zitto ni mzito amujaribu aone kama hatalia mda huo huo mazishi ChattleZitto jifunze kwa yaliyomkuta lissu
Baba jeska hana utani
Ukiacha hii,ame-tweet nyingne ya kuponda kumuita Mkulu mjamaa kwa maneno ambayo sijui kama yatamuacha salama.
Hiyo tweet nyingine nimeona bora tu niache huko huko.
Sasa sijui anatakaa kuvaa viatu vya Tundu Lissu?
Wacha tumpe muda but he is on the right track so far.
Magufuli Mtu wa maigizo hatumshanga katibu mkuu fedha government pay master Dotto James hajawi fanya fedha wala hana uzoefu sasa halina bunkrupt makonda ana Cheri cha kufoji kamuweka Dar es salaam mkoa unaokusanya asilimia Sabini Pato la taifa kafirisi Dar es salaam kamtoa mwele nimr kampeleka measurable vyura jamaa choice zake ni za magumashiBado naona kama jamaa anaigiza hivi. Is it really that a head of state can take such sudden decisions without involving the advisory committee??
Hainiingii akilini kuona mtu asiyekuwa na practical experience hata kidogo kwenye financial sector kuongoza idara nyeti kiasi hiki.
Governor ni mtu muhimu sana kwenye future ya nchi jamani. Theories za darasani zinahitaji kuwa practiced ili mtu aone both sides of the coin. Suala la kuamini kuwa profesa mzuri kwenye ufundishaji atakuwa vizuri kwenye management ni ujuha.
Sasa Magufuli wanamliza jamaa anajitetea ka mtoto aliyenyimwa pipi yaani wanamchemsha has wa amebaki kaa yupo kwenye kampeniNaona Wapinzani kila wanaposhika panabuma, hawaelewi wanasimamia nini. Huenda tungepelekwa huko kwenye mahakama za kimataifa wangesherekea mwezi mzima.
Wamepotezwa uwanjani, mpira wanautafuta kwa tochi.