Uteuzi wa Gavana: Zitto Kabwe aponda

Uteuzi wa Gavana: Zitto Kabwe aponda

Zitto kama si yule ibilisi uliyempa nafasi, naamini ungekuwa mwanasiasa ngunguri sana hivi leo.

Hata hivyo hujapoteza, You still have energy and logic.
 
Ungeweka hapa tuone. Kuna kauli ilisemwa wakati ule Lissu ni mahututi kuwa kila aliyekwenda kumuona alirudi amekuwa mpya na woga na hofu anaacha hukohuko Kenya na kuwa shujaa.
Nimeanza kuamini, kweli kwa kupigwa kwako Lissu sisi tumekuwa majasiri
True ! Wakati mwingine ukatili kama aliofanyiwa Lissu hutengeneza ujasiri .
 
Let's not judge the president for now the results will eventually justify the means, Magufuli is reformist may be we are so much pre.occupied by the business as usual mindset.
 
Bado naona kama jamaa anaigiza hivi. Is it really that a head of state can take such sudden decisions without involving the advisory committee??
Hainiingii akilini kuona mtu asiyekuwa na practical experience hata kidogo kwenye financial sector kuongoza idara nyeti kiasi hiki.
Governor ni mtu muhimu sana kwenye future ya nchi jamani. Theories za darasani zinahitaji kuwa practiced ili mtu aone both sides of the coin. Suala la kuamini kuwa profesa mzuri kwenye ufundishaji atakuwa vizuri kwenye management ni ujuha.
Katiba yetu imewekeza kwenye VITI MAALUM hata nafasi muhimu za kitaaluma Mtu anazawadiwa
 
Mhn! Maguufuli kaiuwa Act Wazalendo unategemea nini?
 
Magufuli anahisi atawanyamazisha wapinzan ila ndo kwanzaa anawakolezea moto bora ajikite kutuletea maendeleo(hewa) tu aachane na kushoboka na wapinzani wanampotezea focus na mda hajajua tu..
 
Ukute kwenu mama ako hana hata godolo maskin wa mungu, usiku kucha anapgana na kunguni, ipo siku ntakuvua nguo kwa kuwa nakufahamuuu
 
Hajawahi kutokea Rais wa hovyo km huyu
Si uhame Tanzania uende kunako Rais unayemtaka.
Watu wengine bhana wanajiona wao ni bora kuliko wengine.
Anyway samahani kama nimekukwaza pengine labda unamzungumzia Rais wa twitter.@lastalfabetical
 
maamuzi kama haya ya kubadilisha gavana ,ukiona wanauchumi hawaongei chochote,wanasiasa hawaongei chochote,sarafu ya nchi hujui ina react vipi kwa mabadiliko haya,uchumi wa nchi nao hatujui,basi elewa tunaishi in a junk status country.sure mkuu wetu awe anatumia busara kufanya mabadiliko kama haya ambayo yana direct impact kwa nchi.
NKANINI ulitegemea nchi na sisi wananchi tu- react vipi? Hivi unaiona Wall street hapa Tanzania- You must be joking if God is not Crazy
 
NKANINI ulitegemea nchi na sisi wananchi tu- react vipi? Hivi unaiona Wall street hapa Tanzania- You must be joking if God is not Crazy
no comments umeyaongea yote,thanks
 
Back
Top Bottom