Uteuzi wa Gavana: Zitto Kabwe aponda

Uteuzi wa Gavana: Zitto Kabwe aponda

Ungeweka hapa tuone. Kuna kauli ilisemwa wakati ule Lissu ni mahututi kuwa kila aliyekwenda kumuona alirudi amekuwa mpya na woga na hofu anaacha hukohuko Kenya na kuwa shujaa.
Nimeanza kuamini, kweli kwa kupigwa kwako Lissu sisi tumekuwa majasiri
Da! Nchi inavijana wapuuzi du!
 
Ungeweka hapa tuone. Kuna kauli ilisemwa wakati ule Lissu ni mahututi kuwa kila aliyekwenda kumuona alirudi amekuwa mpya na woga na hofu anaacha hukohuko Kenya na kuwa shujaa.
Nimeanza kuamini, kweli kwa kupigwa kwako Lissu sisi tumekuwa majasiri
Acha mzaha. Hakuna cha Ushujaa mwenzenu ameteseka sana. Muacheni apone
 
Acha mzaha. Hakuna cha Ushujaa mwenzenu ameteseka sana. Muacheni apone
Hata wewe nenda na ukirudi lazima moyo wako utabadilika kwa kuona mateso aliyopata Mtanzania mwenzako kwa vile amekuwa na hoja kinzani kwa watawala.
 


Ukiacha hii,ame-tweet nyingne ya kuponda kumuita Mkulu mjamaa kwa maneno ambayo sijui kama yatamuacha salama.

Hiyo tweet nyingine nimeona bora tu niache huko huko.

Sasa sijui anatakaa kuvaa viatu vya Tundu Lissu?

Wacha tumpe muda but he is on the right track so far.

Mange Kimambi anasemaje safari hii Kamanda?
 
Zitto jifunze kwa yaliyomkuta lissu

Baba jeska hana utani

baba jeska muoga sana na mashambulizi yake ni ya woga, Zitto atimize wajibu wake na hawezi kutuua woote na aliojaribu kuwadhulu tu dunia nzima imemuona kabla hajatimiza wajibu wake.
 
Wewe na yeye nani anastahili jina hilo? Unadhani makombo yakitupwa chini nani kati yenu atakimbilia kuyala kama sio wewe ambaye pengine hata anuani huna. Mwenzio anabishana kwa hoja na wakuu wa nchi hii wewe umebaki kupiga vigelegele kila upuuzi ujao mbele yako.
Na hata impact hana kwa kuwa anasomwa na watu watatu hadi wanne tu!!Mwenzake anasomwa na mamilion!!!
 
Ila hata Mimi nimeshangaa kusikofahamika jamaa akiambiwa akabidhi ofisi haraka ni kama anamemfukuza na hamtaki.
Ok wacha tusikilizie huu uchumi wetu utakaokuwa unaongozwa na mwanasheria
Gavana wa Benki kuu siyo lazima awe mchumi. Soma BOT Act 2006 hiyo hapo utaelewa
 

Attachments

Slogan ya kijeshi inasema(States) Mfuasi husimvizie muwarrant (muharifu) hivyo Prof.Nduru ameharifiwa kuwa tayari pindi muda wake ukitimia na pia kutoa induction kwa mrithi wake kwakua muda wake kuitumikia BOT unaelekea ukingoni
 
Kuongoza mkoa ni rahisi kuliko BOT, ule ndio muhimili wa uchumi wa Tanzania. Uzoefu ni muhimu kwenye idara nyeti kama ile.
 


Ukiacha hii,ame-tweet nyingne ya kuponda kumuita Mkulu mjamaa kwa maneno ambayo sijui kama yatamuacha salama.

Hiyo tweet nyingine nimeona bora tu niache huko huko.

Sasa sijui anatakaa kuvaa viatu vya Tundu Lissu?

Wacha tumpe muda but he is on the right track so far.

Kuna watu wakiona siasa inawafia wanatafuta sababu ya kusingizia. Yaani Zitto anafundisha hata namna ya kutaja gavana mpya! Amefanikiwa nini kumfundisha mwenzake jinsi ya kuzungumza kwenye press conference? Mbona mwenzake kila akizungumza ni kutumia maneno yasiyo na staha. Rubbish!

Mwambieni Zitto atafute ajira impe uzoefu. Siasa kwa umri ule imemponza na kumpa ushujaa usiokuwepo. Kila siku twitter kama za kindergarten!
 
acha apambane kivyake ccm wanataka kuiua ACT kama walivyofanya CUF. Chadema wamekwaa kisiki sasa wanatumia risasi
CDM mziki mwingine, si aliapa eti atausambakatisha upinzani, kumbe ndio unaujenga. Sasa yule pro-pesa eti aliongea kwa niaba yà vyama vya siasa Tanzania, aliniboa sana. Sijawahi ona mtu mzima mseja!!
 
Back
Top Bottom