Uteuzi wa Gavana: Zitto Kabwe aponda

Uteuzi wa Gavana: Zitto Kabwe aponda



Ukiacha hii,ame-tweet nyingne ya kuponda kumuita Mkulu mjamaa kwa maneno ambayo sijui kama yatamuacha salama.

Hiyo tweet nyingine nimeona bora tu niache huko huko.

Sasa sijui anatakaa kuvaa viatu vya Tundu Lissu?

Wacha tumpe muda but he is on the right track so far.

Lissu kumuhusianisha na huyo Zitto maana yake yaliyomkuta Lissu yanaweza mkuta Zitto au?
 
Ungeweka hapa tuone. Kuna kauli ilisemwa wakati ule Lissu ni mahututi kuwa kila aliyekwenda kumuona alirudi amekuwa mpya na woga na hofu anaacha hukohuko Kenya na kuwa shujaa.
Nimeanza kuamini, kweli kwa kupigwa kwako Lissu sisi tumekuwa majasiri
Majasiri wa nyuma ya keyboard mko wengi sana. Hongera sana kwa ushujaa mkuu.
 
Bado naona kama jamaa anaigiza hivi. Is it really that a head of state can take such sudden decisions without involving the advisory committee??
Hainiingii akilini kuona mtu asiyekuwa na practical experience hata kidogo kwenye financial sector kuongoza idara nyeti kiasi hiki.
Governor ni mtu muhimu sana kwenye future ya nchi jamani. Theories za darasani zinahitaji kuwa practiced ili mtu aone both sides of the coin. Suala la kuamini kuwa profesa mzuri kwenye ufundishaji atakuwa vizuri kwenye management ni ujuha.
 
Bado naona kama jamaa anaigiza hivi. Is it really that a head of state can take such sudden decisions without involving the advisory committee??
Hainiingii akilini kuona mtu asiyekuwa na practical experience hata kidogo kwenye financial sector kuongoza idara nyeti kiasi hiki.
Governor ni mtu muhimu sana kwenye future ya nchi jamani. Theories th a darasani zinahitaji kuwa practiced ili mtu aone both sides of the coin. Suala la kuamini kuwa profesa mzuri kwenye ufundishaji atakuwa vizuri kwenye management ni ujuha.
Mwacheni atavuna anachopanda.
 
Zitto jifunze kwa yaliyomkuta lissu

Baba jeska hana utani
Wwe ni Mtu wa aina gani na unamtahadharisha Zitto ili iweje na kwa lengo gani!?
Hongera sana Mh.Zitto kwa ssa uko unavaa viatu vya Lissu vyema kbsa. Hakika Pengo la Lissu Nchin liko linasinyaa taratibu, viva! Hatutaki kuwa watu wakupoteza muda wakusherehekea tamasha ya kupeana vyeti vya kiaina na wkt huku mtaani tuna njaa ya kufa Mtu
 
ZZK alishagapotea, sasa hivi anajaribu kila awezalo kuwa hewani, bahati mbaya chama ni watu sio mtu. Kuna muda nilidhani ACT ingekuja kuwa chama kikuu cha upinzani ila bado sana, ZZK hajikiti kwenye kujenga chama ila ameanza siasa za kudandia matukio, kila lifanywalo na serikali anadandia, wakikaa kimya nae anakaa kimya, hana muda wa kujenga chama chake.
I FEEL VERY SORRY FOR ONCE I THOUGHT WOULD BE A GREAT POLITICIAN, HE'S ON A SPIRAL DOWN FALL, HIS POLITICAL PARTY IS IN TOTAL DISORDER BUT SURPRISINGLY, HE KEEPS ON FOCUSING ON MINOR ISSUES OF SITUATIONAL POLITICS!!
ZZK, IF YOU WERE SMART YOU SHOULDN'T BE GETTING CAUGHT MORE THAN ONCE IN THESE MICE TRAPS, ONLY FOOLS GET CAUGHT TWICE AND MORE BY THE SAME TRICK, BUT YOU, IT'S OVER AND OVER AND OVER YOU FALL TO THE SAME DAMN TRICK!
WAKE UP BRO!!
BE MORE CREATIVE, THE GAME YOU ARE PLAYING NOW IS WAY OVERDUE.
 


Ukiacha hii,ame-tweet nyingne ya kuponda kumuita Mkulu mjamaa kwa maneno ambayo sijui kama yatamuacha salama.

Hiyo tweet nyingine nimeona bora tu niache huko huko.

Sasa sijui anatakaa kuvaa viatu vya Tundu Lissu?

Wacha tumpe muda but he is on the right track so far.


Nchi hii inaongozwa na wapinzani toka Raisi wa awamu ya tano kuingia madarakani
Maana yake ni kwamba serikali inatekeleza baadhi ya mambo ili kuwakomoa wapinzani.kama kila wakati mkuu wa nchi akihutubia ni kama anajibu hoja ya kambi rasmi ya upinzani.ina maana anasikiliza zaidi hoja toka kwa viongozi wa upinzani kuliko washauri wake.naona kama sasa ameanza kujibu hoja za Zito.
 
Back
Top Bottom