Uteuzi wa Gavana: Zitto Kabwe aponda

Uteuzi wa Gavana: Zitto Kabwe aponda

Mkuu, kabisa! utangazaji wa uteuzi huu staili yake haijapata tokea

Hivi hawa wanaopiga makofi wana akili kweli! Wanapiga makofi wakifurahia Gavana wa sasa Prof. Ndullu kutumbuliwa kienyeji hivi au wanafurahia Prof. Luoga kuteuliwa kama zawadi. Kweli Watanzania tumefikia hapa...sitaki kuamini hata kidogo kwamba unafiki wetu umefikia kiwango hiki! Inatisha!
 
Hivi Mbona mna Utoto sana. Mwanamume apimwi kwa mipasho. Kuna mtu alimchagulia Zitto mke wake Wa kukaa naye Ndani. Je sifa ya Mtu jasiri ni yule anayemtukana Rais. Kweli ndo Vijana Wa Chadema mlikofikia kutoa sifa za kiongozi. So sad. So stupid. So immature. Kazi ya Rais ni ndogo sana. Kuonyesha kwa maneno na matendo uzalendo kwa taifa. Mengine Sisi ndo tunatenda. Kuna mjinga fulani kaweka bundle hapo chini eti „hujawahi ona Rais kama huyu „ yes. Kabana maslahi ya wizi ya shoga wako. Wapenda bure mtasoma kirumi sasa. Hakuna Nchi iliyoendelea mambo yako loose loose tu. Tembeeni msidanganyike. Rais yeyote atakaingia Tz na akitaka Maendeleo lazima awatese kwa zaidi ya Miaka hata 30 ndo mtakaa na kujua nini maana ya utaifa. Tunakaa na wazungu hapa. Wana maovu yao kibao lakini kukuropokea wewe mweusi uuuuuu. Nyie sasa ndo mmegeuka adui Wa Taifa. Eti Ndege imetaifishwa. Sasa why ufurahie. Ni Mzima Mtu hyu kweli. Ndege ni ya Nani. Kweli wasomalia wamejaa wengi. Na endeleani tu
Nimeshtushwa na upumbavu ulio andika hapa kunijibu huku ukibeba dhana ya kuwa wewe ndio unajuwa uchungu wa kumsemea huyo unaye msemea. Nchi haiendeshwi kama danguro binafsi, ndio maana kuna katiba na sheria zake na kila mmoja lazima azifuate. Jee wewe umeona hayo yanafuatwa kwa wakati tulio nao?
Halafu hii dhana ya kudhani kila anayepinga unafiki wa awamu hii ni kijana mnaitoa wapi? Watu wengine tunapinga haya tuyaonayo kwa kuzilinganisha awamu zote za uongozi kwa vile tunazifahamu sio kwa kuhadithiwa bali kuzishuhudia na Unafiki na uongo unaoendelea kwa sasa ni dhahiri mbele zetu.
Eti Rais awatese zaidi ya miaka 30 ili kuleta maendeleo! Hizo ni fikra za kijinga sana, maendeleo hayaletwi kwa kutesana bali mikakati na mbinu madhubuti kwa kushirikisha sekta zote. Na hilo ndio halipo kwa sasa bali amri na kutaka watu waishi kama mashetani tuu. Ni miaka miwili sasa na hakuna dalili za nafuu ya maisha wala matumaini zaidi ya drama na one man show, kila kitu cha kutafutia sifa (ambazo zinakuja kubuma) ni kuita TV coverage live huku mijadala ya kitaifa ya bunge mkigoma kuionyesha wazi. Nyie endeleeni kusifia kwa nyimbo na mapambio nasi na Zitto & co tuacheni tuseme tuonayo ya hovyo kwani ni nchi yetu hakuna mwenye hati miliki. Mkitumia vibaya madaraka yenu vibaya kuwa tesa na kuwatweza wakosoaji shauri yenu, yale yale ya Chiluba yatawarudia (kama sio ya wale wengine ambao sio vizuri kuwataja hapa) sheria ni msumeno.
Maisha ya kustaafu kama JK na Mwinyi yana raha zake bwana!
 
How does the economy suffer by the new governor of BOT being named?
It could suffer tremendously if we had as volatile (sensitive) stock markets as those of developed countries. A good example was when Jacob Zuma replaced Pravin Gondan (Finance Mininster) with an incompetent one. Businesses lost billions of Rand and their currency performed poorly against major currencies for months.

Luckily (or unluckily) for us, Dar Stock exchange is fast asleep, and therefore no direct consequences to the economy. However, FDI could suffer because investors like stability and predictability of the economy.
 
Hilo gazeti la jumapili linalosema tuna ukimwi naombeni jamani ckubahatika kuliona
 


Ukiacha hii,ame-tweet nyingne ya kuponda kumuita Mkulu mjamaa kwa maneno ambayo sijui kama yatamuacha salama.

Hiyo tweet nyingine nimeona bora tu niache huko huko.

Sasa sijui anatakaa kuvaa viatu vya Tundu Lissu?

Wacha tumpe muda but he is on the right track so far.

Alitaka ateuliwe yeye kisa ni mchumi?Atulize A55 hapo Ngosha yupo kazin
 
Zitto mchovu sana sasa hivi; amebaki na jumba bovu soon litamdondokea ; time will tell.
 
ni kazi yake kupinga usitalajie mpinzani akasifia mtawala ni ujinga kama unashangaa mtu kukosoa basi wewe ni mshamba cc Nape Nnape..
 
Sasa sijui anatakaa kuvaa viatu vya Tundu Lissu?

Zitto hajaribu kuvaa viatu vya Tundu Lissu.

It is the Zitto Kabwe, Wilbroad Slaa and James Mbatia generation that gave birth to the Tundu Lissu era of Tanzanian opposition.

Zitto was receiving death threats for rubble rousing the Samuel Sitta's parliament when Tundu Lissu was practicing environmental law.
 
zitto ni mfa maji asieisha kutapatapa.

anatafuta kiki kwa nguvu sana ila bahati mbaya haaminiki tena.

kwa zero brain kwenyewe ambako anaamini akipinga kila kitu watamsaport washamshtukia.UNAFKI MBAYA.
 
Ghafla siku za hivi karibuni ZZK awa mtamu, haitwi tena msaliti
 
Zitto amefulia big time alifikiri angepata uwaziri wa madini; akapigwa chini amebaki kulia lia tu anashika hili mara ashike lile hajui wapi awekeze.. anaisoma namba huyu mpuuzi wa kiha.
 
Back
Top Bottom